No bro first of all katoa penalty ya kisenge then katoa 2 yellow cards za kimchongo huyu refarii anatokea wapi?ukimuangalia kwa jicho la 3 kuna kitu kinamtuma kufanya haya this game angechechezesha Antony Taylor I swear to God haya yasingetokea that's why hawapewi chance ya kuchezesha final cups in the world