Refa unamtukana bure tu, cedric amefanya upumbavu mwenyewe.
Hapa katikati hawa watoto wenu walipunguza ujinga wa kucheza rafu za hivyohovyo na kula kadi nyekundu, ila mechi ya leo kwa hizi rafu za kipumbavu anazochezea Son sidhani kama mtakosa kadi nyekundu.