Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ata mimi na amini ivo kuna vtu makocha wote wanaviona nadhan kwake
 
Kocha amefanya Kazi kubwa sana kucoach kikosi Cha namna Ile , anahitaji watu wa kushindana sasa ,watu wa kucheza tayari ashaonyesha anaweza kucheza .

Acha alete watu,I hope we will be better next season
Kwa kikosi kile kilivyo hadi sasa 🙌 tumia dakika moja kutoa heshima kwa Arteta ,I dont think kama kuna kocha anaweza kucheza ile ligi na watoto U23 ambao walitakiwa wacheze premier league 2 Ila ndo tunao EPL na yupo pale alipo.

Akiongeza watu wanne pale Kuna vitimu tutavifanya vibaya sana.
 
Xhaka hana profile ambayo Arteta anaitaka , but you can't write him off, nigga anaquality ya kipekee mno, kuna muda unamuangalia unasema alitakiwa awe pale ila anapocheza line breaking pass, long pass, pass selection unaona nigga anaishi dunia yake.

In my opinion, wachezaji wenye high technical security Arsenal, namba moja ni Granit Xhaka, Kieran Tierney, Martin Odegaard, Takehiro Tomiyasu & Benjamin White.
 
🗣️ Emmanuel Petit:

"I've heard big names as well, Jesus, Sterling, I really like Zaha, or even someone like Saint-Maximin from Newcastle. Martinelli is a very good player, just like Saka, but when they get injured, who's going to play on the left and right? There are no options, they need at least four players, at least two up front." #COYG
 
Zaha!
 
Ujio wa Haaland ni lazima Jesus aondoke ili aepuke kusugua Benchi
 
🚨 Ricardo Begone, Bologna’s CEO, will attend tomorrow’s North London Derby and will meet with the Arsenal officials afterwards to negotiate the transfer of Aaron Hickey. Reports,

@TuttoBolognaWeb.

🚨 Arsenal are close to agreeing a deal with Manchester City for Gabriel Jesus. Reports,

@brunoandrd.

The negotiations are heading towards a fee close to £42m.
 
🚨 Ricardo Begone, Bologna’s CEO, will attend tomorrow’s North London Derby and will meet with the Arsenal officials afterwards to negotiate the transfer of Aaron Hickey. Reports,

@TuttoBolognaWeb.

View attachment 2220992
tumempa jamaa complimentary ticket aje ashuhudie magiant wa london afu atupe bonge la discount.

Mchezaji sijamuona akicheza zaidi ya youtube videos na so far sijaona cha ajabu ila hata tomiyasu sikumuona wa maana. Hapa namuachia arteta afanye kazi yake.
 
🚨 Arsenal are close to agreeing a deal with Manchester City for Gabriel Jesus. Reports,

@brunoandrd.

The negotiations are heading towards a fee close to £42m.
Daah. Wanatupiga hela ndefu ila siyo mbaya. Tukishinda competion kumpata, je tutakuwa na pesa ya quality signings zingine na tutataka kuwaleta akina nani?
 
Daah. Wanatupiga hela ndefu ila siyo mbaya. Tukishinda competion kumpata, je tutakuwa na pesa ya quality signings zingine na tutataka kuwaleta akina nani?
Ngoja tusubiri lig iishe, Arsenal watamchukua kwa hela ya kawaida tu
 
Ngoja tusubiri lig iishe, Arsenal watamchukua kwa hela ya kawaida tu
yaani chini ya 40m? Si wanasema maongezi yanaenda vizuri? Kwa maana inaelekea tumeridhia bei. Of course sijali bei najali quality players wakutosha waje na msimu ujao tufanye vizuri zaidi ya huu
 
yaani chini ya 40m? Si wanasema maongezi yanaenda vizuri? Kwa maana inaelekea tumeridhia bei. Of course sijali bei najali quality players wakutosha waje na msimu ujao tufanye vizuri zaidi ya huu
Kitambo tu Mchezaj na Arsenal walishamalizana,

City na arsenal ndio bado
 
Kitambo tu Mchezaj na Arsenal walishamalizana,

City na arsenal ndio bado
hapo sawa. Maanake wanaweza kupunguza bei mchezaji na wakala wake wakiwatia pressure. Sikudhani kama watakuwa wamemalizana maana jana tu ben jacobs alisema city wanataka abaki
 
Tomorrow is Champions League final in London. Seriously I'm under pressure, but i remain positive. We will get a positive result.

Good luck to our own ... We just have to be optimistic about it... Maximum points is certified

If we cannot win it don't lose it,a draw is a good result
 
Mikel Arteta says both Ben White and Bukayo Saka are doubtful for Spurs tomorrow. Is this a mind game?
 
🚨 || Gabriel Jesus has reportedly formally asked City to accept Arsenal’s offer [Via -
@ThirFernandes
/
@SimpRaisa
].
🚨 || Arsenal have offered €50m (£43m) for Gabriel Jesus and the negotiations move forward [Via -
@ThirFernandes

@SimpRaisa
 
| @simpraisa: Arsenal have made a €50m offer to Manchester City for Gabriel Jesus. The brazilian striker has told City’s board that he wants to join The Gunners this summer

looks like Arsenal want to tie up their signings right at the start of the window. Gabriel Jesus interest getting hotter, Aaron Hickey links are genuine plus Tielemans stuff doing the rounds with credible people reporting it
 
Agent wa Jesus atakua anatumia jina la Arsenal ili wanaomtaka Jesus wapande dau.

Juve inamtaka Jesus pia.

Villa wanamchukua Coutinho jumla. Barca ilimnunua kwa zaidi ya 150M ila inamuuza kwa chini ya 40M.
 
Hizo 150M na 40M ndo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…