Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Camavinga(japo ngumu kumpata kuliko ngamia kuoenya tundu la sindano)
Renato sanchez, hizi zilikuwa options bora zaidi

Ila kukosa hao ni afadhali kumpata tielemans kuliko kubaki na xhaka uwanjani.
Xhaka anatimiza majukumu yake kipindi hichi.

Anajithidi mno ukizingatia mid iliyopo.

At one point Henderson alionekana hafai Liver. Lakini ameletewa watu na falsafa imebadilika imefanya aonekane bila yeye liva haishindi.

Nina uhakika Xhaka bado tunaye sana.
 
Shida ya xhaka sio kutimiza majukumu yake tena haswa akiwa hana mpira hapa anajitahidi kiasi kikubwa, shida ya xhaka akiwa na mpira ikitokea kakabwa, hapo ndipo kwenye tabu, juzi lile goli la leeds alituchoma, alisababisha kona buure.
 
Ni bonge la mtu huyu.

Yaani anasuffer, ana skills, ana vision ya pasi na accuracy na ukikutana naye unamuachia mpira.
Nadhani ni kipindi cha wenger kama sikosei alimtaka kipindi ana miaka kama sio 17 ni 19.
 
Shida ya xhaka sio kutimiza majukumu yake tena haswa akiwa hana mpira hapa anajitahidi kiasi kikubwa, shida ya xhaka akiwa na mpira ikitokea kakabwa, hapo ndipo kwenye tabu, juzi lile goli la leeds alituchoma, alisababisha kona buure.
Nikifananisha na msimu uliopita timu inajitahidi.

Nilikua nasemea sana tabia ya mtu anapata mpira anaganda, anarudisha nyuma, wa nyuma anapeleka pembeni, wa pembeni anaurudisha kati, kati ni Xhaka unamuona anapata kigugumizi mara mpira kapokonywa.

Na hili tatizo lilikua hadi kwa forwards zetu. Mtu anapata mpira unashangaa timu haijui cha kufanya. Msimu huu hilo tatizo limepungua, Xhaka naye anajirekebisha.
 
hii ishu huwa inaboa sana mkuuu
 
Yani ii timu bana hahaha🤣🤣🤣 eti na nyie munawaza kumaliza top four .. halafu saiv munajadili usajili hahaha ivi nyie arse8 mumefikia atua ya kusajili wachezaji wenye ile Hali ya kuleta makombe kwenye ka klabu kenu aka hahaha

Ninyi timu yenu siyo yaa level hiyo ..nyie endeleeni kununua vile vichezaji vya pound million nane Saba uko ndio uwezo wenu. Iv viushindi viwili vitatu visiwape kiburi na kujiona Sasa msimu ujao ni wenu hahaha ..nyie bado ni level za Akina Spurs uko au West Ham vile ..adi muje murudi ile enzi za Akina Cambiaso, Henry, ni mwaka 2030 uko ..kwa Sasa neendeni taratibu musiwe na haraka maana mutapigwa sokoni.

Majayant Kama sisi tushazoea kupigwa maana tunajua ni wap tutasolve Mambo yakae sawa.

Manure pamoja na ubovu wake wote bado ni timu kubwa Sana Mara kumi na nane ya hii arse8 😂😂😂

Ila nyie upcoming musiwe na papara mf eti munamtaka Jesuse hahaha maake apo kwanza ncheeke😂😂😂😂
 
Camavinga(japo ngumu kumpata kuliko ngamia kuoenya tundu la sindano)
Renato sanchez, hizi zilikuwa options bora zaidi

Ila kukosa hao ni afadhali kumpata tielemans kuliko kubaki na xhaka uwanjani.
Chief hivi unamuona Xhaka mbovu sana kwamba hafai kucheza Arsenal au hupendi tu? Mimi nadhani tunatakiwa kuongeza ukubwa wa kikosi ili hata kunapotokea majeruhi au suspension tusiwe na mhaho. Kuna wa kuondoka ila Xhaka ni muhimu sana kwenye kikosi chetu na siku akiondoka tutamkumbuka sana. Mkuu mechi zote ambazo hatukutegemea kupata matokeo Xhaka alifanya maajabu kwa kuwa na performance ya juu. Mwisho lbd nikuulize ni lini Xhaka amewahi kuwekwa bench tangu alivyosajiliwa??
 
Xhaka sio mnyumbulifu tu ila vitu vingine yuko vzr sana nadhani hata viungo watakaoletwa kushindania nafasi na Xhaka inabidi wajitume sana vinginevyo wataendelea kusubili
 
Sikusema xhaka aondoke, hata akiwa mtu wa benchi, kuna vitu fulani anakosa huwa vinatugharimu.
 
Ukubwa wa Chelsea uko kwenye nini? Timu kubwa England ni tatu tu; Man u, Liver na Arsenal. Wengine bado wanakuwa
 
Ukubwa wa Chelsea uko kwenye nini? Timu kubwa England ni tatu tu; Man u, Liver na Arsenal. Wengine bado wanakuwa
Hahaha hii arse8 inatakiwa ireplaciwe na Nu casto. Kwenye timu kubwa kwa Sasa kuiweka hii arse8 ni kujitafutia lawama kwa washabiki
 
Hahaha hii arse8 inatakiwa ireplaciwe na Nu casto. Kwenye timu kubwa kwa Sasa kuiweka hii arse8 ni kujitafutia lawama kwa washabiki
Leeds United boss Jesse Marsch:

"Even against a team like #Chelsea, we believe we can get a result at home."

[via @LUFC]
 
🚨 || Riccardo Bigon, the Sporting Director of Bologna, will be in England tomorrow in order to discuss three players of the club, with English sides. The most important meeting is with Arsenal, regarding Aaron Hickey [Via - @CalcioNapoli24].
 
🚨 A meeting will take place between Bologna and Arsenal for the transfer of Aaron Hickey in the next few hours. Arsenal have decided to accelerate things and to close a deal soon.

Reports, @CorSport.
 
Youri Tielemans has 6 goals and 3 assists playing centre mid for a side that is currently 14th in the league. For Anderlecht as a 20 year old he scored 18 goals and got 15 assists in one season. Unbelievable. Has an Incredible eye for goal.

Will bring lots of qualities to Arsenal
 
Source: Trust me Bro.

🚨 | Gabriel Jesus deal: new updates

Exclusive: Marcelo Pettinati, Gabriel Jesus agent with @energysports13, confirms negotiations opened with Arsenal and more ⤵️📑

🗣 “We had discussions with Arsenal about Gabriel Jesus and we like the project - it’s a serious possibility so we’re discussing”, he tells me.

🗣 “There are 6 more clubs interested in Gabriel Jesus - he’s now focused on final games with Manchester City, then we’ll see what happens”.

Gabriel Jesus is expected to leave the club after Erling Haaland deal official and completed 🔵🇧🇷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…