Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Msimu huu ka drop, last season kafunga sana ,kawapiga man u,arsenal ,Chelsea magoli ya mbaliYea akiwa nje ya box kushuti haoni shida isipokua shot accuracy siyo kubwa.
Ana forward runs na pasi nzuri katika hili namkumbuka Renato. Ukiacha Partey bado hatuna kiungo anayeweza kuzurura kiwanja kizima rumours za Camavinga zilinifurahisha ila ndo vile
Mashine kali sana yule dogo Camavinga. Kwa kweli tunahitaji mtu wa kushirikiana na kushika nafasi ya Partey pale kati.Yea akiwa nje ya box kushuti haoni shida isipokua shot accuracy siyo kubwa.
Ana forward runs na pasi nzuri katika hili namkumbuka Renato. Ukiacha Partey bado hatuna kiungo anayeweza kuzurura kiwanja kizima rumours za Camavinga zilinifurahisha ila ndo vile
Halland to city deal doneWote wawili yaani yere ba Jesus? Au ni yeye bila Jesus? Binafsi kwa sababu naona Sterling anapenda kutokea kushoto, ningependa asije ili Smith-Rowe na Martinelli wakuze uwezo wao kwa game time ya kutosha. Shida ni kwa kina Laca pale kati,so kama ni kati ya Sterling na Jesus, bora Jesus.
Nafas ya Partey naona Ni Auriel Touchmen ndio anaweza kuikavaMashine kali sana yule dogo Camavinga. Kwa kweli tunahitaji mtu wa kushirikiana na kushika nafasi ya Partey pale kati.
Alvarez si wakwao tayari, walimuacha River Plate huko kwa mkopo. Sisi tumchukue tu Gabriel Jesus ili tusiwafukuzishe kina Martinelli.Halland to city deal done
Alvarez na yeye deal done
Tegemea Jesus ,Sterling kutaka kuondoka sababu ya Ufinyu wa nafasi
Ninachoona tutamchukua mmoja wapo,
YahAlvarez si wakwao tayari, walimuacha River Plate huko kwa mkopo. Sisi tumchukue tu Gabriel Jesus ili tusiwafukuzishe kina Martinelli.
Wapo wengi ligi ya La Liga na Seria AMashine kali sana yule dogo Camavinga. Kwa kweli tunahitaji mtu wa kushirikiana na kushika nafasi ya Partey pale kati.
Chelsea wana Kante, tumuapproach.Wapo wengi ligi ya La Liga na Seria A
Injury prone ,halafu Ngumu kumpataChelsea wana Kante, tumuapproach.
Ah wee mchezaji kama Kante ili umnunue lazima yeye mwenyewe atake kuondokaChelsea wana Kante, tumuapproach.
Ok. Nikirudi kwa Tielemans na kufukua makaburi, hivi hatukumtaka kabla hajaenda Leicester? Na je alienda kule kisa walibahatisha EPL wakajikuta Top 4 contender?Injury prone ,halafu Ngumu kumpata
Kuna watu wengi tu wapo French ,Italy
Hivi Uchezaji wa locateli na Tieleman wana tofaut gan?
Ila locateli kapotea ,sijamsikia kitambo
Nilikuwa natest tu. Ukiacha huyo Leicester si wana Ndidi? Nasikia jamaa yuko vizuri pia.Ah wee mchezaji kama Kante ili umnunue lazima yeye mwenyewe atake kuondoka
Ndidi miyeyusho tu. Bora BissoumaNilikuwa natest tu. Ukiacha huyo Leicester si wana Ndidi? Nasikia jamaa yuko vizuri pia.
Bissouma tena yuko kitimu cha hovyo (ambacho kilitupiga 😄😄😄). Huyu tukiapproach timu yake watatupa maana watakuwawanataka helaNdidi miyeyusho tu. Bora Bissouma