Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Arteta nimesikia anataka Senior players 22 , ukiangalia tunahitaji strikers 2 ,Viungo wawili, hawa wanne wanatakiwa kuwa versatile players karibu watatu,CEO alisema tulipo sasa hivi sipo bodi ilipotarajia tungekua, waliwish tuwe kwenye nafasi ya 5 au 6, kikosi chini ya Arteta kimeenda extra mile.
This means bodi inatakiwa ikae chini na kutathmini ikiwa kikosi kilichopo kinatosha kucheza CL. Mimi naona hiki kikosi hakitoshi kucheza EPL, Carabao na FA hivyo kukipa na mzigo wa CL ni kushuhudia aibu.
Kwakua haiwezekani kununua wachezaji 10 ghafla hii inamaanisha usajili wa kutanua kikosi utaanza taratibu, hii ni kusema kwamba documentary ya 'All or Nothing' itakua moto lakini tusiwe na matumaini ya kua dominant mwakani.
Pengine kuanzia msimu wa 24/25 tunaweza pambania CL kwa nguvu zote but what do I know? Arteta anajua zaidi
Hii huongeza ukubwa wa kikos na sio namba ya wachezaji
Kwa kikos chetu, tunahitaji wachezaji wazoefu au wazuri wanne , na backup labda moja kwa LB,