Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bowen amewaambia AsaniAli Bong'oweni na wenyewe mmebong'oa kweli amewatia kimoja.
Kipindi cha pili mtabong'oa tena halafu Bowen anatia kingine, Rice na Lanzini kila mmoja nae pia ana goli lake.
Aya tupe uo mbon'goo sasa
 
This time round it’s the champions league begging us to play

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Kimahesabu tulikua tushapoteana, mara hawaapa tena, bila shaka champion ligi inatutaka.

Kuna jamaa kakoment sehemu, Mungu anatuita tukacheze champion ligi ila Arsenal wenyewe tunakataa wito, sahiv kaamua amtumie Nyangumi kama Yona
yaan utake usitake utaenda..

Chelsea kurud kwenye race n advantage kwetu, Spurs akikaza Chelsea atupishe..

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
kuna uwezekano Richarlison atapewa 3-match suspension kutokana na kitendo chake cha kurusha kitufwe chenye moshi kuelekea kwa mashabiki. arsenal mpo hapo?
Richarlison ana ego kubwa ila uwezo mdogo. Haimaanishi hafungi akipata nafasi ila inamaanisha jamaa anajioverrate so hata akiwepo binafsi hainisumbui
 
Richarlison ana ego kubwa ila uwezo mdogo. Haimaanishi hafungi akipata nafasi ila inamaanisha jamaa anajioverrate so hata akiwepo binafsi hainisumbui
Tabia zake zinafanana na Morrisson wa Simba. ingawaje akiwa uwanjani ni msumbufu kiasi chake, Nadhani alikuwa street boy kabla hajaingia kwenye mpira
 
I repeat Arsenal kwa mpira wa sasa game ngumu ni vs Spurs akimpiga spurs au kutoa sare anafuzu champions league problem inakuja Leeds na Everton wapo kwemye relegation zone but kimpira na kimbinu Arsenal is the best
Spurs tumempiga mzunguko wa kwanza. Anacheza mpira mzuri katika kutafuta goli ila ana matundu yake katika kukaba. Bahati mbaya hatuna clinical finisher ila sitashangaa mechi hiyo Emile akianza.
 
Afu bado kuna mtu atakuambia haoni chochte kwenye hii team aseeee
Acha complacency hii timu bado ina mapungufu, kama umeangalia mechi ya jana kuna wakati ilikuwa kama tumepotea uwanjani. Moja ya mapungufu ni ufinyu wa kikosi. Hapa tulipo tunaomba isitokee injury/redcard kwenye starting 11, vinginevyo jukwaa tutalikimbia.
 
Ujumbe wa matumain tulio upata msimu huu n kwamba, tunao uwezo wa kumfunga yoyote,

game zetu za round ya pili na top two zimetuthibitishia hilo, mpira mkubwa sana ila mapungufu machache yaka tugharimu.

Tukisajili watu sahihii wa kutibu madhaifu tulio nayo, Msimu ujao patachimbikaa

Pia tusajili angalau wachezaj wawili toka America kusini, wagumu, wapambanaji, watu wa mpelampela, mapafu ya mbwa.

Kuna mechi unashinda sio techniques bali toughness ya timu

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
🚨 || Arsenal and United are both heavily interested in signing Monaco Midfielder, Aurélien Tchouaméni. The player would be interested in playing in the Premier League [Via - @DiMarzio].
 
Arsenal wameshasema Gabriel Maghalhaes Ni Untouchable ,Juve wanapoteza muda

🚨 || Juventus are entertaining the possibility of starting talks with Arsenal, over Gabriel Magalhães and want to use Arsenal’s interest in Arthur to push the discussion [Via - @DiMarzio].
 
Dusan na Locatelli wangeweza kua miongoni mwa wapambanaji wa Arsenal muda huu tupo top four ila wakaamua kwenda Juve ambako walikua na uhakika wa kunyanyua makombe.

Well, Juve yuko nafasi ya nne pia. So tupo hapa saa hii.
 
Jukwaa hatulikimbii. Uliyosema nakubaliana nawe ila kumbuka kuna Arteta kule bench. Kwahiyo JUKWAA HATULIKIMBII
 
Richarlison ana ego kubwa ila uwezo mdogo. Haimaanishi hafungi akipata nafasi ila inamaanisha jamaa anajioverrate so hata akiwepo binafsi hainisumbui
Anthony Martial, Saido Mane, Jack Grealish, Wilfred Zaha, Mason Greenwood, Phil Foden, Nicolas Pepe, Miguel Almiron na Eric Lamela.

Hawa ni aidha ndio ilivyokuwa au vyombo vya habari vimewaharibu.
 
Dusan na Locatelli wangeweza kua miongoni mwa wapambanaji wa Arsenal muda huu tupo top four ila wakaamua kwenda Juve ambako walikua na uhakika wa kunyanyua makombe.

Well, Juve yuko nafasi ya nne pia. So tupo hapa saa hii.
Dusan sijui mara ya mwisho kafunga lini ,
 
Dusan na Locatelli wangeweza kua miongoni mwa wapambanaji wa Arsenal muda huu tupo top four ila wakaamua kwenda Juve ambako walikua na uhakika wa kunyanyua makombe.

Well, Juve yuko nafasi ya nne pia. So tupo hapa saa hii.
Zingekua sajili babkubwa sana kwetu sisi kwa uwezo wa arteta najua wote wange klik tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…