Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watu tunampigia hesabu lembu
 
Yea siku hizi wana mpira fulani ambapo wakiupata mpira unashangaa timu nzima inatembea kuja mbele.

Viungo wao haswa Winks wamekua wanapiga sana through balls za chini na juu yaani hawana muda na possession
Conte huyo baba
 
Mikel Arteta says Takehiro Tomiyasu seems ok after going off injured against West Ham.
 
Undava undava
 
Jamaa wamepambana sana

Kama tutakuwa tumefuzu UCL ,mech ya mwisho Arteta awapangie kina Charlie , Omary Hutchison, Leno
 
Kweli mkuu. Zimeniuma sana zile
Ukifatilia na kuchunguza vzr utagundua Mech hizo 3 na zile za Kwanza ligi inaanza ,Kuna factors zimesababisha hizo

Moja kuchelewa kufanya usajiri

Mbili ufinyu wa kikos

Hizo mech Ni ponts 18 , imagine tungevuna point. .12-15

Tulikuwa kwenye race ya ubingwa

Hizo factors 2 zikifanyiwa kaz tuta step up hapa tulipo

Kuumia kwa Partey na Kieran ,ikaharibu mipango na kupoteana mech 3 ,

Tungekuwa na kikos kipana anaumia Partey na Kieran ,unaweka watu wenye Quality kama yao tungekuwa mbali zaidi

Hizo factors ndizo zinamfanya leo Liverpool na man city wapiganie ubingwa
 
Hapana! Tunazungumzia palace, Brighton na Southampton za juzi tu hapa
 
Nimekuelewa now
 
Moja ya sifa ya timu bora,ni kushinda mechi hata kama umecheza vibaya, that is what we did today.
 
Mimi binafsi nina imani kwamba vyovyote ntakavyojifanya naijua timu basi sitomshinda kocha. Anajua nani yupo katika hali gani na nani hayupo sawa.

Yes sometimes makocha huzengua but nimeridhika kwa Arteta is decent.

Ndio maana sikurupuki na kuanza kusema sijui timu haitoshinda au top four hatupati au sijui kashfa kwa players. Gunners sote tufurahieni ushindi 😁😁
 
Hapana! Tunazungumzia palace, Brighton na Southampton za juzi tu hapa
Yah nazungumzia hizo na zile za awali ligi inaanza jumla points 18,

Hiz za juzi Kuumia kwa Partey na Kieran kuliharibu mipango kabisa, Partey kaumia toka half time dhid ya palace
 
Sio kazi imewashinda, Tottenham wameshasema ni bora washuke daraja lakini sio kuikosa top4 ya msimu huu.
Son leo ametuma salamu kwa AsaniAli waachane na ndoto za mchana Uefa ina wenyewe.
Pole sana .
 
Nyumbu tulishajiondoa wenyewe tayari hatutaki tuhesabiwe wala kuhusishwa na lolote kwenye top4.
Ila nyie masikini kuingia top4 labda kwa kutegemea Chelsea apoteze mechi zake zote zilizobakia, ila kumchomoa Tottenham hilo msahau kabisa.
Mtaenda nae Europa.
 
βœ… Arsenal currently have the third most wins in this Premier League season. Crazy stat.

Arsenal have now won 20 Premier League matches this season, only Manchester City (26) & Liverpool (25) have more wins.
 
Nuno Tavares, this should be his first and last season for Arsenal football club I cannot die before my time, Sell and replace immediately please
No no no no
Keep the lad. He is a good back up. And gives the team some options
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…