Hebu tutolee ujinga wako hapa
Kelele nyingi game ikiisha hatuta kuona hapa, pangonii...tushakuzoeacomputerarsenal upo wapi ndugu yangu?
Njoo uwachambulie mpira hawa chawa wa Arteta, wewe kila unapojitahidi kuwaonyesha madhaifu ya timu pamoja na kocha wao hua wanajifanya kuziba masikio.
We nyumbu umemuona Mbowe na umeiona Arsenal?Mbowe bado ana goli zake nyingine mbili.
Kwakweli huu ushindi pongezi ziwaendee wachezaji wote wakiongozwa na Holding.Vijana wamechoka sana, from Chelsea, United then West ham, wakipata hata draw safi tu. Dhidi ya Leeds tutashinda, North london derby tutapata sare
Kocha anafanya jitihada kuwaondolea wachezaji attitude kama hii yako. So far anafanikiwaTuongee ukweli tu, hakuna dalili ya ushindi kwenye hii game.
Kweli ndugu, ulisema Bora tucheze vby ,kwasasa muhimu 3 pointsKwakweli huu ushindi pongezi ziwaendee wachezaji wote wakiongozwa na Holding.
Amini wahuni tunarudi UEFA, kocha kapambana sana, kwa timu hii oya mwamba anajua sana.Kwakweli huu ushindi pongezi ziwaendee wachezaji wote wakiongozwa na Holding.
Wewe sio unaongea tu uonekane kila muda uko sahihi.Kocha anafanya jitihada kuwaondolea wachezaji attitude kama hii yako. So far anafanikiwa
Ukicheza kibrazamen na timu kama Westham anakushut moja, anapiga low block na counter za hapa na pale.Kweli ndugu, ulisema Bora tucheze vby ,kwasasa muhimu 3 points
Confirmed: Arsenal have qualified for the Europa league next season.
Hapo sijamaanisha mimi nipo sahihi namaanisha wachezaji wanajengewa spirit ya kupambanaWewe sio unaongea tu uonekane kila muda uko sahihi.
Ukiacha magoli tuliyopata kwa corner, kulikuwa na mpango gani mwengine wa ushindi zaidi ya kuzuia?