Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Cheki huyu kilaza
 
Tukitaka kupaki basi Holding is there.

We needed a goal. Holding delivers
 
Huyu Tavares anaigharimu timu sana anafanya makosa mengi sana kuanzia game ya chelsea,man utd na game ya leo ya west ham sijui kwanini arteta anampanga hata kama tierney majeruhi angetafuta mchezaji yyte acheze,sioni dalili ya kutoboa top 4 makosa ni mengi sana
 
Hatupo Secured kabisa na inapelekea tunashindwa kucontrol game, ni makosa yanayofanywa na Simba na Yanga sio Arsenal. Ø, Nketiah, Tavares kuna kitu wanatunyima kwa kukosa technical security. Wengine wote nawapa high five.
 
Sasa Bowen ni nani? Tulivyowapiga mbili bila huyu Mbowe alikua wapi? Na kuna member hapa ambaye yeye alikua anamhofia Rice.

Yaani shabiki wa Arsenal anamhofia Rice wewe mvimba macho wa pembeni unamhofia Mbowe
Bowen amewaambia AsaniAli Bong'oweni na wenyewe mmebong'oa kweli amewatia kimoja.
Kipindi cha pili mtabong'oa tena halafu Bowen anatia kingine, Rice na Lanzini kila mmoja nae pia ana goli lake.
 
Sure, bila silly mistakes za kudispossess mipira kijinga tungekuwa 1-0 up at HT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…