Mi sina cha kukusaidia.Nyumbu na AsaniAli akili zao sawa tu, wote ni wa matopeni.
Top4 mpaka dakika hii tayari imeshakaa nafasi yake, usitegemee mabadiliko yoyote kuanzia sasa.
Huu ndio msimamo mpaka mwisho wa ligi. View attachment 2207572
Mzunguko wa kwanza alikufa goli kama ulizokufa wewe
Sasa Bowen ni nani? Tulivyowapiga mbili bila huyu Mbowe alikua wapi? Na kuna member hapa ambaye yeye alikua anamhofia Rice.halafu nyinyi ndio hamkufi sio?
Nina salamu zenu toka kwa Bowen.
Tukutane London Stadium 06:30pmSasa Bowen ni nani? Tulivyowapiga mbili bila huyu Mbowe alikua wapi? Na kuna member hapa ambaye yeye alikua anamhofia Rice.
Yaani shabiki wa Arsenal anamhofia Rice wewe mvimba macho wa pembeni unamhofia Mbowe
Hadi tulioambiwa hawatakuepo?Hawa westham mbona kama wametupangia full squad.......Hawaitaki fainali ya Europa league
DuhMpira anaoupiga Leeds dhidi ya City, naogopa kusema kama tutaweza kupata point tukicheza nao.
City anapigiwa pressing mpaka haelewi anabutua butua tu. Wachezaji wa Leeds ni kama cherehani vile walivyochangamka.
Sitoshangaa City akisuluhu au akipoteza hii mechi japo anaongoza.
Hatuna namna inabidi tukashinde hii game pamoja na ya Leeds ili Spurs aje kusimamishwa game na LiverpoolHadi tulioambiwa hawatakuepo?
Wajinga sana hawa jamaaLeicester kazi imewashinda
Westham nimeshawaambia leo wanaunga mkono juhudi za Tottenham.Hawa westham mbona kama wametupangia full squad.......Hawaitaki fainali ya Europa league
Sio kazi imewashinda, Tottenham wameshasema ni bora washuke daraja lakini sio kuikosa top4 ya msimu huu.Leicester kazi imewashinda
Dua la kuku hahahahahahaahahTukutane Europa msimu ujao,
Nafasi ya 4 tayari ina mwenyewe.
Nlijua tu hawa Leicester hawajieewi. Waache Everton wafanye kazi yaoLeicester kazi imewashinda
Leicester ndio sikuitegemea kabisa mkuu. Rodgers hajielewiNilidhani Leicester wangewazuia hawa jamaa, bure kabisa!!
Kwa hiyo sasa hivi Lacca ndio basi tena!!At the London Stadium - The team news is in.
Tomiyasu, Holding and Martinelli all come in for Arsenal. Ben White is not involved due to a tight hamstring.
Arsenal: Ramsdale; Tomiyasu, Holding, Gabriel, Tavares; Elneny, Xhaka, Odegaard; Saka, Martinelli; Nketiah.
Subs: Leno, Cedric, Kirk, Swanson, Lokonga, Oulad M'hand, Smith Rowe, Pepe, Lacazette.