Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaaap oliver nae uwa upande wetu sana
Oliver huwa yupo upande wa Liverpool, Game ambayo Arsenal anahitaji Matokeo akichezesha Oliver ujue tumeumia

Game ya mwisho aliyowanyonga Liverpool ilikuwa dhid ya totenham , imepita miaka minne nadhan baada ya hapo , mech za Liverpool akichezesha Oliver weka hata Hati ya nyumba


Oliver huyu ametupa Red card za kutosha zisizo hata na sababu, Au ambazo mech nyingine faulo hizo hizo hatoi

Ndiye Refa ambaye Arsenal fans hawampendi sana

Juz hapa kampa Red card ya utata martinel ,



 
nlikuwa namchanganya na atknson
 
Mi nilijua unajua unachokitetea kumbe ni average fan kama Computerarsenal, mpira hujui itoshe kusema.
 
Mkiishiwa hoja ndio kimbilio lenu,

Uzee wa ronaldo sio ujana wa nketiah. Umeshindwa kuthibitisha unachokitetea unaruka sijui computer arsenal sijui nini.

Haya kila la kheri.
Hoja gani uliyonayo hapo mkuu wakati hata fundamentals huzielewi? Yaani ni sawa nipoteze muda kudiscuss na mtoto wa standard 1 kuhusu Matrix wakati 1+1 kwake mtihani.
 
NEW: Arsenal are leading the race to sign Pablo Dybala on a free transfer and Gabriel Jesus from Manchester City, the first official from bid from #AFC to #City is around £35m, should be accepted. [@MailSport]
 
Tomi left back, keep Cedric in on the right. Problem solved

Arteta (Tomiyasu) “He can play right centre-back, left centre-back, he can play left-back so that gives you enormous variability and it’s the way they’ve been raised and coached since a really young age, that’s what he says so for him, left and right is the same.”

Mikel Arteta on Tomiyasu’s ability with his weaker foot: “When we followed the player, it is one of things that I came across & it gives you a lot of solutions. He can use both feet, he can play right centre-back, left centre-back, left-back. That gives you enormous variability.”

 
Hoja gani uliyonayo hapo mkuu wakati hata fundamentals huzielewi? Yaani ni sawa nipoteze muda kudiscuss na mtoto wa standard 1 kuhusu Matrix wakati 1+1 kwake mtihani.
Mwerevu huanza ujinga pale anapojikuta mjuaji.
 
Mwerevu huanza ujinga pale anapojikuta mjuaji.
Hii sio coincidence, nimepita twitter now nimeiona jamaa kaandika hii kitu na ndio discussion yetu toka jana.

Niliongelea kuhusu balance ya timu jana, jamaa anaongea kuhusu disjointedness, kwangu naona ni kitu kilekile.

Anasema "Ronaldo is part of why United are not as good as last season. So is Bruno Fernandes.

Both of them require a team completely built to complement the way they play. That's what happened last season with Bruno. Cristiano took that apart, so the disjointedness is what you have left."

So yale ni maoni yangu ila binafsi nafurahi kuona kumbe kuna great minds tunashare thoughts & opinions nje ya JF.
 
Akiongea mwingine haimaanishi yuko sahihi, ila tu ninabidi niheshimu mawazo yenu, kwangu mimi shida ya man u sio cristiano, game ngapi cr7 hajacheza wamepata matokeo, miaka yote huko nyuma ronaldo hayupo ilikuwaje kwao,

Kwangu mimi uzee wa cr7 ni bora kuliko ujana wa nketiah
 
According to Dean Jones, Manchester City would actually prefer to sell Riyad Mahrez than Gabriel Jesus, amid interest from Arsenal.
 
Arteta (the summer)

“We want to make the squad stronger, we want to make the starting XI stronger, we want to make the specificity and the personality of our players stronger, and that's what we are going to be seeking to do,"

Arteta (if Arsenal will copy Liverpool by making 2 huge signings (like Van Dijk & Allison for £142m)

"I don't think we are in a position where we can do that, so we have to find other ways to do it,"

 

Aloyetunyonga dhidi ya Spurs mbona alikuwa ni Jon Moss ambaye aliwapa Spurs Penalties za utata 2 tukatoka sare ya 2-2.
 
Aloyetunyonga dhidi ya Spurs mbona alikuwa ni Jon Moss ambaye aliwapa Spurs Penalties za utata 2 tukatoka sare ya 2-2.
Sio miaka hii, nadhan ilikuwa kipind Cha Poch, tot alishinda 4-1

Baada ya hapo sijawahi kuona mech za Liverpool Refa Oliver , Liverpool kapoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…