Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Unaweza kuonesha mahali nimekuwa mkali au kuleta maneno ya jikon?anakua mkali anaandika maneno ya jikoni?
Sasa huoni unatudanganya unapodai Osmhen hafai kisa ana rekod mbaya za red card , wakat mtu sijui kwenye career yake ana red 2 tu ,huon unatudanganya ?So Osimhen ana red hana?
Wewe kutojua kama Neuer alizomewa haimaanishi kwamba hakuzomewa. Ni ama utafute ukweli au upokee kama nilivyoandika.
United ilimtaka pia Neuer hiyo 2011. Ila akaopt Bayern na mashabiki wakajipanga kwenda kuzomea bodi ikawaambia mashabiki waache kumzomea na wamheshimu.
Mashabiki wakaingia na mabango yaliyoandikwa 'No Neuer'
Nilikuomba ushahidi wa fact tu, unapanikWewe kutojua kama Neuer alizomewa haimaanishi kwamba hakuzomewa. Ni ama utafute ukweli au upokee kama nilivyoandika
Bro nunua miwani uwe unasoma kitu kizima.Mbona ww ndugu mkali hivo, ukipingwa kwa hoja unasema Mimi naongea maneno ya jikon mara na umilik arsenal
Wapi nimeongea shit , hebu shambulia hoja sio Mimi,
Umeanza kutudanganya kuanzia kwa Osmhen asije kisa ana red nying, mara Jesus Ni second choice , umekuwa ukijibiwa kwa fact , unasema maneno ya jikon
Mara tuna umilik na Arsenal
Hakuna anayekubaliana na Kila sajiri ,Hilo sio tatizo, ila jifunze kuheshimu taaluma za watu,
Uliwahi kusema humu Odegaard sio AM , ulimkataa Ramsadale bila hata fact
Ila ukijibiwa unasema una attack mtu ,
Mwanzo ulisema Osimhen ana red moja. Naona idadi inapanda.Sasa huoni unatudanganya unapodai Osmhen hafai kisa ana rekod mbaya za red card , wakat mtu sijui kwenye career yake ana red 2 tu ,huon unatudanganya ?
Mm kuhusu neur kuzomewa nimeomba ushahidi , maana nakumbuka alikuwa potential kubwa sana kipind hicho
Sijabisha nahitaji fact , ukiulizwa hivi unakimbilia nimejibu maneno ya jikon
Sasa unamuhukumu Osmhen kwa red 1 ? Hi Ni fact kweli?
okLabda kama ww umesikia hivo, lkn hao wawili Ni Marquee names, lkn limit sio 2 tu, Fabrizio,Charles watt,Chris Wheatley wamesema , Sasa mm nimuwekee maneno gan ,alichoongea juz Ni kidogo tu kagusia
Jaribu kutembelea vyanzo vya kuaminika uone
Bro kuna vitu vipo tu kwenye ulimwengu wa mpira.Nilikuomba ushahidi wa fact tu, unapanik
Kama unamaanisha kuja humu na kukesha kwenye jukwaa of coz upo kabla yangu ila tukiongelea kuingia hili jukwaa na kuandika kitu.Unaweza kuonesha mahali nimekuwa mkali au kuleta maneno ya jikon?
Zaidi ya wewe ndiye unanishambulia mm na sio hoja,
Mm nilishaacha kushambulia watu na sio fact, mm nipo humu nadhan kabla yako ,tulikuwa na utoto mwingi
OkBro kuna vitu vipo tu kwenye ulimwengu wa mpira.
Yaani tunakua tunajua kua fulani hakukubalika mwanzo mfano Ferguson hakukubalika united mwanzoni au kikosi chake kuitwa kikosi cha wavulana yaani ni knowledge ambayo ipo tu.
Ni kama Neuer kuzomewa ni knowledge ipo tu ukigoogle utakuta wanaelezea kwa undani kwanini alikua anazomewa.
Ngoja nikujibu.Kwenye hili jukwaa me kuna watu nimekuwa nikiwapa Heshima wanazostahili kutokana na michango yao na ukongwe katika team
Miongoni mwa watu ambao ninaweza kusema mbele ya watu kuwa ninawapa Heshima yangu ya dhati humu ni bwana Castr
Nimemkuta humu kabla yangu ila pia amekuwa akitoa ufafanuzi juu ya Mambo mengi sana kuhusu Arsenal na ata mpira wenyewe, ila kuna kitu naona hakipo sawa kwake, ameanza kuwa mbishaji Tu bila facts au hoja zenye mashiko tofauti na zamani
Kuna muda namsoma alafu nasema hivi huyu anaechangia siku hizi sio yeye nini? Labda castr mwenyewe original kagawa account maana ni kama vile watu wawili tofauti kabisa
Mie nilizoea kumsoma castr ambae anapinga hoja Kwa hoja, alikuwa hapanick bali anakupa facts wewe ndio upambane nazo, anaongelea mpira wenyewe na sio hisia ila huyu wa Leo nashindwa kabisa kumweka katika kundi lipi
Labda kwakua mrefu awe anafunga sana magoli ya vichwaSwali kwenu gunners. Tunamtaka jesus. Je ni sahihi au la na kwa sababu zipi? Mie kwa haraka haraka nitasema nahisi anawazidi nketiah na laca. Hiyo inatosha?
Je tammy abraham tunamtaka kwa sababu gani za msingi(?
Hujajibu swali umezunguka mbuyu jibu swali langu Why Pep anamtaka Halaand wakati ana JESUS?HILI NDIO SWALI LANGUTatizo lenu nyie mnajiandaa kubisha Tu bila facts, Pep alishawahi kuwa na Aguero kwenye team yake, na Zama za Aguero hakuna striker alikuwa anamzidi uwezo pale England ata huyo Kane
ila Pep akawa anamsugulisha benchi mfungaji Bora namba 3 wa muda wote katika ligi ya England na kumuanzisha Jesus, kwahiyo Kwa pep hoja sio ufungaji Tu, yeye anataka mfungaji ambae anaweza kucheza kama kiungo pia ndomana Kane ana namba kubwa za Assist
Kwahiyo kama wewe unadhani eti pep anataka mtu anaefunga magoli 40 Kwa msimu ujue unapotea mchana kweupeee, jamaa anaangalia wachezaji wanaofit katika system yake full stop, Pep anafuta Messi wa aina ingine, mchezaji ambae ataweza kufanya majukumu mawili Kwa usahihi, Kufunga na assist
Lin ulimuona Odegaard happy arsenal alicheza RW?Narudia tena Odegaard siyo AM isipokua anaweza kucheza hiyo nafasi vizuri na akadeliver yaani ni kwamba akisajiliwa AM proven
Huyu niliwahi kumwambia hapa Arteta ameachana na 4-2-3-1 na Sasa anatumia 4-3-3 yenye double 8 , akanibishia bila fact kisa tu liverscore wameweka hivoMie nilizoea kumsoma castr ambae anapinga hoja Kwa hoja, alikuwa hapanick bali anakupa facts wewe ndio upambane nazo, anaongelea mpira wenyewe na sio hisia ila huyu wa Leo nashindwa kabisa kumweka katika kundi lipi
Anamtaka ili akapige nae Picha mkuu, umeridhika?Hujajibu swali umezunguka mbuyu jibu swali langu Why Pep anamtaka Halaand wakati ana JESUS?HILI NDIO SWALI LANGU
Mm sikeshi humu,ndio maana nakushangaa unasema mara nilijipiga ban, nipo humu kitambo na ID yangu ilipata shida ,Kama unamaanisha kuja humu na kukesha kwenye jukwaa of coz upo kabla yangu ila tukiongelea kuingia hili jukwaa na kuandika kitu.
Basi jikumbushe vizuri maana hata kua member wa JF overall bado nakuacha
Anayemtaka ni mwalimu na anamkubaliSwali kwenu gunners. Tunamtaka jesus. Je ni sahihi au la na kwa sababu zipi? Mie kwa haraka haraka nitasema nahisi anawazidi nketiah na laca. Hiyo inatosha?
Je tammy abraham tunamtaka kwa sababu gani za msingi(?