Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mbona huelewi , sajiri 1 or 2 ni zile za kutumia hela kubwa , hizo zinajulikana ni 70-80Sasa kama unakubaliana na mimi kwamba sajili 1 au 2 hazitoshi mbona tena unashangaa ninaposema tunahitaji zaidi? Na unadai nimuamini kocha kwa huo usajili mmoja atakaofanya?
Osimhen muafrika. Partey muafrika yakija mashindano ya Afcon timu itakosa watu muhimu wawili.Huyu jamaa binafs simkubali ,japo yupo naona kwenye list ya wanaotajwa
Kuhusu red card sio kweli, huyu jamaa ana Red card moja tu nadhan ndan ya misimu miwili
Ninachokumbuka Arsenal waliwataka wote Partey na Aouar , usajiri wa Aouar ukawa mgumu, umepelekea had kabadilisha wakala , ile bei waliyoitaka Hakuna aliyeenda kuilipa sio Arsenal Wala Juve waliyemtakaHoja ipi vipi?
Tulihitaji AM akaja DM.
Nikaita usajili wa DM ni panic buy na utatusumbua kupata magoli ila atatusaidia ulinzi.
Na ikawa hivyo.
Hapo unataka hoja gani?
Haya sawaMbona huelewi , sajiri 1 or 2 ni zile za kutumia hela kubwa , hizo zinajulikana ni 70-80
Sajiri za 50 hata msimu uliopoita wamemnunua ben white
Sajiri kama kina Jesus 30, Tieleman 25, Neves 40, sio big signing
Hizo 1 or 2 ni hao wanaotajwa kama Nunez bila 70-80 Ngumu, Osmhen 70-80 ,
Uache kusajiri mwafrika mzuri kisa afcon utawakosa kwa mech 3-4 ?Osimhen muafrika. Partey muafrika yakija mashindano ya Afcon timu itakosa watu muhimu wawili.
Anaweza asije
Usajili ulikua mgumu kutokana na wakala kutaka pesa nyingi mno ila kabla bodi iliamini inamchukua Partey na Aouar ikatengeneza hadi videoNinachokumbuka Arsenal waliwataka wote Partey na Aouar , usajiri wa Aouar ukawa mgumu, umepelekea had kabadilisha wakala , ile bei waliyoitaka Hakuna aliyeenda kuilipa sio Arsenal Wala Juve waliyemtaka
Ulichoandika kina logic. Acha tuoneUache kusajiri mwafrika mzuri kisa afcon utawakosa kwa mech 3-4 ?
Na sidhan kama hi Afcon itaendelea kucheza January tena
Mbona unanishambulia mm badala ushambulie hoja , au unataka niwe nabishana na ww humu ndio uone sawa,Waliokua wanatukana usajili wa White walikua mashabiki wa united wakimfananisha Varane na White. Sisi mashabiki wa Arsenal ambao hatukujipiga ban kama wewe tulikua tunamtetea White kwenye uzi wa united na kwenye uzi huu.
Tukaonyesha kasoro za Varane na kwanini White kasajiliwa.
Maddison ni long shot merchant na kwa kumbukumbu zangu ni mtu mmoja tu humu alikua anasema atafaa Arsenal. Price tag yake ilikua wizi na wengi tukaridhia kuachana naye kwa hiyo price tag.
Odegaard alikua hovyo. He had his moments ambazo wengi tulikubaliana kua jamaa ana quality ila tutahitaji muda naye.
Wakati Ramsdale anakuja zaidi ya stats alikua na nini kingine? Arteta alisema attitude akifungwa. Mimi str8 up nilisema Aaron siyo shot stopper, kwa magoli anayoconcede sioni wapi nimeongopa.
Arteta alimess up usajili akasababisha wewe ujifiche, sisi tulibaki hapa hapa. Leo umerudi unaanza kuandika as if una hati miliki na timu
Maddisson ukitoa ile price tag yake ni mchezaji mzuri sana, na tunamuhitaji ,Maddison ni long shot merchant na kwa kumbukumbu zangu ni mtu mmoja tu humu alikua anasema atafaa Arsenal. Price tag yake ilikua wizi na wengi tukaridhia kuachana naye kwa hiyo price tag.
Sasa usajiri wa Partey haujalipa au kusaidia kikos? Pamoja na kumkosa AMUsajili ulikua mgumu kutokana na wakala kutaka pesa nyingi mno ila kabla bodi iliamini inamchukua Partey na Aouar ikatengeneza hadi video
Nadhani hiyo ni interpretation yako,inaweza ikawa sio anachomaanisha EduMbona huelewi , sajiri 1 or 2 ni zile za kutumia hela kubwa , hizo zinajulikana ni 70-80
Sajiri za 50 hata msimu uliopoita wamemnunua ben white
Sajiri kama kina Jesus 30, Tieleman 25, Neves 40, sio big signing
Hizo 1 or 2 ni hao wanaotajwa kama Nunez bila 70-80 Ngumu, Osmhen 70-80 ,
Hakuna sehemu nimeandika kwamba ulisema Arteta kamess up kwenye usajili.Mbona unanishambulia mm badala ushambulie hoja , au unataka niwe nabishana na ww humu ndio uone sawa,
Mm nilikuwepo humu kabla hujaja humu, ukiona sipo humu ni personal issue zangu ,
Lini Nilisema Arteta alimess usajiri humu nikaondoka ,?
Mm nilimuamini day one Arteta kwa maneno ya Pep na Arsene Wenger ,
Ramsadale stats zinaonesha ni moja ya top stopper , na nilishakuletea humu,
Goli mfano alilofungwa na Liverpool, arteta alikuwa kumtetea alikuwa injury baada ya half time
Shambulia hoja usinishambulie Mimi
SawaMaddisson ukitoa ile price tag yake ni mchezaji mzuri sana, na tunamuhitaji ,
Umesaidia sanaSasa usajiri wa Partey haujalipa au kusaidia kikos? Pamoja na kumkosa AM
Kwa Mahojihano yake akiyofanya wewe unayaelewaje?Nadhani hiyo ni interpretation yako,inaweza ikawa sio anachomaanisha Edu
Kwangu mimi big signings ni mchezaji ambaye ni world class au well established au ana potential na siyo price tag pekee.Nadhani hiyo ni interpretation yako,inaweza ikawa sio anachomaanisha Edu
Hii ni bei imetajwa kwenye fununu. Bado hatujapewa gharama rasmi katika fununu nilizoziona mimi imetajwa 50M na mshahara wa 6M kwa mwaka.
Kwa sasa analipwa 3.5M so tunamzidishia 2.5M mchezaji ambaye alipotoka amekua second choice. Na ilitakiwa uletwe mbadala wake for seasons
Alikua Aguero sijajua umeanza lini kufuatilia mpira ila City hiyo namba ya Jesus ilikua ya mchezaji anaitwa Aguero.Mkuu kama hutojali unaweza kunitajia mchezaji ambae ni first choice katika nafasi ya Jesus? Maana kama umemuita Jesus nisecond choice bila Shaka first choice utakuwa unamfahamu
Kutokana na rotation anayofanya pep kusema ukweli me sijababahatika kumjua mchezaji ambae ni first choice wa nafasi ya Gabriel Jesus, hebu nitoe matongo tongo mkuu ni nani huyo?
Hata mm nimeshangaa maana kwa pep ni wachezaji wawili tu ndio naonaga wana uhakika wa namba ederson na rodri ,kwa mbali anafatia KDB wengine wote ni rotation tu, Tena hiyo false 9 ya pep , wanacheza wachezaji si chini ya watano , KDB, Foden, Sterling,Jesus, SilvaMkuu kama hutojali unaweza kunitajia mchezaji ambae ni first choice katika nafasi ya Jesus? Maana kama umemuita Jesus nisecond choice bila Shaka first choice utakuwa unamfahamu
Kutokana na rotation anayofanya pep kusema ukweli me sijababahatika kumjua mchezaji ambae ni first choice wa nafasi ya Gabriel Jesus, hebu nitoe matongo tongo mkuu ni nani huyo?
Msimu uliopoita Aguero hakuwa regular alicheza mech 12 za ligiAlikua Aguero sijajua umeanza lini kufuatilia mpira ila City hiyo namba ya Jesus ilikua ya mchezaji anaitwa Aguero