computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Ok my question naona umekimbia hili why Guardiola anatoa Mamilioni ya Paund kwa ajili ya Haaland?wakati ana JESUS?uliyoyasema sijakataa but why ana spend more than 100M Paund wakati JESUS yupo ?why?Siwezi kuwa na majibu ya kichwani mwa pep lkn naweza kujibu kutokana na mazingira ya football:-
1. Yawezekana anataka kumuuza kwa kuwa hampi kile kitu anachokitaka/alichokitarajia na inaweza yasiwe magoli peke yake maana km issue ingekuwa ni magoli basi misimu kadhaa asingeachana na aguero na kubaki na Jesus
2. Anahitaji kuongeza striker hivyo kupunguza gharama inamfanya aondoe mtu ili mwingine apate nafasi na kwa vile pep sio muumini wa strikers hivyo haoni sababu ya kuwa na idadi kubwa ya striker ambao hawezi kuwatumia. Kumbuka pep ni muumin mkubwa wa viungo ndo maana utakuta anaweza cheza gem bila striker hata moja.
3. Inaweza kuwa ni sababu ya mchezaji mwenyewe baada ya kuona pale City kuna ushinadani mkubwa na hakuna mwenye uhakika wa namba ya kudumu hivyo akaona bora kuomba kuondoka ili aende sehemu ambayo ushindani sio mkubwa hivyo anaweza akapata fursa ya kucheza/uhakika wa namba.
Na kumbuka kuwa mchezajia anapohama timu sio kwamba ni mbovu ila kuna sababu zinazomfanya asifanye vzr lkn akienda sehemu nyingine anafanya vzr hapo sina hata haja ya kutoa mifano maana ipo mingi mno. Haya na wewe tuambie unadhani kwanini pep anataka kumwachia Jesus
Hii timu banaaa kocha pamoja na mashabiki wake kipaumbele chao kikubwa ni kuwepo kwenye top4, hawawazi kabisa juu ya ubingwa wa EPL.Ok my question naona umekimbia hili why Guardiola anatoa Mamilioni ya Paund kwa ajili ya Haaland?wakati ana JESUS?uliyoyasema sijakataa but why ana spend more than 100M Paund wakati JESUS yupo ?why?
For example Kane angekuwa amepatikana last season Manchester City unafikiri Pep angetoa more than 100 M paund?this season?no nway sitaki kubelieve hili
Westham anatupiga, that's my worry!Spurs kasuluhu.
Arsenal tupo nafasi ya nne.
Arsenal tuna Westham na Leeds kisha tunakutana na spurs.
spurs ana Leicester na Liva kisha anakutana na Sisi.
Tukomae.
Top 4 yetu ipo kwenye game 3 zijazo, tumkafue westham, tumkafue leeds kisha tumalize na Tottenham. Tuvune point 7 mpaka 9Spurs kasuluhu.
Arsenal tupo nafasi ya nne.
Arsenal tuna Westham na Leeds kisha tunakutana na spurs.
spurs ana Leicester na Liva kisha anakutana na Sisi.
Tukomae.
Nafikiri tukipata points 10 kwenye hizi mechi nne mfululizo zinatoshaTop 4 yetu ipo kwenye game 3 zijazo, tumkafue westham, tumkafue leeds kisha tumalize na Tottenham. Tuvune point 7 mpaka 9
Wakati tukimuombea mabaya Tottenham ndani ya game zake 3, aharibu game ya Leicester, afe kwa Liverpool kisha tummalize sisi hapo avune point 1 katika 9.
Your worries are legit.Westham anatupiga, that's my worry!
Mwalimu wa Klopp na Tuchel wapi?
Yule muhuni hana tofauti yoyote na Haji Manara, yule ni mzee mission town tu, domo lake ndio linamuweka mjini.
Ina maana hujaona nilichokisema? 1&2 huoni nimetoa sababu ambazo zinamfanya atafute sriker? Jiulize ni lini Pep amewahi kutafuta/ kuchukua mchezaji wa kawaida? Uwe unatoa majibu na sababu ili twende sawa kama ulivyojinadi vinginevyo bado utakuwa unaonekana hujui kutetea unachokisema au unachokisema hukijuiOk my question naona umekimbia hili why Guardiola anatoa Mamilioni ya Paund kwa ajili ya Haaland?wakati ana JESUS?uliyoyasema sijakataa but why ana spend more than 100M Paund wakati JESUS yupo ?why?
For example Kane angekuwa amepatikana last season Manchester City unafikiri Pep angetoa more than 100 M paund?this season?no nway sitaki kubelieve hili
Kikosi cha Arsenal kilichoanza huu msimu wa 2021/ 22 hakikua cha kushindania EPL kama alitokea mtu akakuambia hichi kikosi kinachukua EPL na ukamuamini basi wewe mpira hujui.Hii timu banaaa kocha pamoja na mashabiki wake kipaumbele chao kikubwa ni kuwepo kwenye top4, hawawazi kabisa juu ya ubingwa wa EPL.
Kwa kukuthibitishia hilo angalia leo jinsi mashabiki walivyo na furaha utafikiri wamechukua kombe la ligi.
Mbaya zaidi yanasahau kabisa kua hamna uhakika kama wataweza kumaintain kumaliza ligi wakiwa kwenye hio nafasi ya 4 maana Tottenham yupo nyuma yao kwa ukaribu sana.
Ukiwaambia ukweli wanaanza kukushambulia tena kwa matusi machafu kabisa kisa tu umewaeleza hali halisi jinsi ilivyo.
Mbaya zaidi sasa hivi EPL kila baada ya miaka kunakua na ongezeko la timu zenye ubora mkubwa zaidi hali inayopelekea ugumu kuongezeka katika kuwania hio nafasi ya 4.
Mfano baada ya miaka 2 mbele Newcastle itakuwa imeshajidhatiti katika kuwania hio nafasi ya 4 kutokana na kuwekeza kwao kwenye usajili wa wachezaji wazuri ili kuimarisha kikosi kitakachoendana na ushindani uliopo kwenye ligi.
absolutely, we have lost ARV, OllaChuga Oc na wengine wengiArse8 fans hongereni bwana kwa vichapo mlivyotoa this week naamini Cheltako na Nyumbu fans watapumzika kuvamia uzi huu
Katika pointi hizo tuvune 3 kwa tott, najua tott kwa liver kuchomoka si kazi rahisi, Hapo ni 99% tunaingia top 4 bila tabuNafikiri tukipata points 10 kwenye hizi mechi nne mfululizo zinatosha
Spurs kuna mpira alimpigia Liva walipokutana mzunguko wa kwanza nikasema sasa tunashuhudia ushindani.Katika pointi hizo tuvune 3 kwa tott, najua tott kwa liver kuchomoka si kazi rahisi, Hapo ni 99% tunaingia top 4 bila tabu
Aseeee jamaa jana kazngua sana aseeeeTavares inabd atupwe kwa mkopo italia huko akakomae,
then cc twende Brighton pale tukafanye biashara watupe yule Lb wao Cucurella aje asaidiane na Tierney pale. tatzo la Lb litakua limeisha
kakimbia uyoVipi washachukua nafasi yao?π