computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Haaa kumbe unataka niondoke Arsenal?binti tangu lini umeanza kuwapangia wanaume nini cha kufanya na nini cha kuacha?tafadhali wanaume hatupendi kufuatiliwa fuatuliwa na mabinti unampangia mwanaume cha kufanya? Mesut90 seriously?kumbe uliumia nlivyosema hvyo?ohhhh sorry sorry my loveUsiniletee haari za last year jinga wewe. Ulikuja kama mwanamke malaya kwamba mumeo hakufikishi kwa hiyo unaenda kutafuta bwana mwengine. Si ulienda PSG wewe?? Kimekurudisha nini?? Nyinyi ndio huwa wanaume tunawafumua mitaro halafu tuna wa dump.
Nketiah apewe mkatabaNketiah alideliver mechi iliyopita ila bado sina imani naye.
Baadhi ya wachezaji wa kikosi chetu cha leo wanawakilisha kikosi kinachotakiwa kucheza EFL na FA.
If we win hii mechi morale boosted itazidi kupaa.
Yaani kama huyu mbwa amechukulwa dada yake na Arteta. Inashangaza sana huyu computerarsenal anavyomchukia arteta. Halafu wakitokea mashabiki wa upinzani wakimwambia yupo sawa eti najiona yupo sawa kweli. KmmmkYour comment shows you have personal hatred for the man.
I will advice you to channel your frustration elsewhere because Mikel is going nowhere…rather than supporting the team you and your Arteta out bandwagon are always wishing we lost games so you can justify your hatred.
You will soon hug transformer so your blood will calm down.
Mesut90 jana alikuwa na boyfriend wake anampa utamu hakufuatilia Mjadala leo kaachiwa nafasi ya kucheki game kavamia jukwaaniNdio, nilisema hivyo...
Record yake against top teams sio nzuri, kati ya 9 matches ameshinda tatu. Hiyo kwako ni record nzuri?
This s the notion. This is the spiritMikel time has just began!
You & your # Arteta out brigade can throw yourselves into Themes river, you won't be missed!!
Keep it up Gooners! I have complete trust, the manager will turn things around...win or lose please support the team..It doesn't help when the fans ranting too much... Support the team or else don't be a fan...
Zile game tulipigwa na kitu kizito sana na nilijua hawa Chelsea na pepo ndiyowatatusumbua.wazee zile game tatu tungeshinda hata moja tungepunguza presha ya top 4
Mkuu bora tu-persue options nyengine. Hakuna kubembelezaTielemans kwangu is not an option, amekuwa floppy sana nowdays.
Arsenal warudi tena wakajaribu kwa Aouar, very best option. Anaweza kucheza CM, LCM/RCM na CAM.
Mwanaume hapangiwi binti sasa kama mimi Arteta namchukia kinachokuumiza ni nini kama sio umama wa nyie wanawake mlivyo? Mesut90 wanawake mara nyingi huwa wanasemaga for example akigombana na mwenzie hataki mwenzake aongee nae ila sio kwa sisi wanaume wa shoka mambo ya ushoga unaleta kwenye football Mesut90 boyfriend wako kukupa ruksa ya kucheki game umekuja na haya ?Yaani kama huyu mbwa amechukulwa dada yake na Arteta. Inashangaza sana huyu computerarsenal anavyomchukia arteta. Halafu wakitokea mashabiki wa upinzani wakimwambia yupo sawa eti najiona yupo sawa kweli. Kmmmk
Huyu kaja kwa kuniataack acha nimalizane naeMkuu, mimi huko kwenye personal attacks sipo!let's talk soccer!
Hapo vipi??? Sisi tumeamini kwenye maendeleo ya timu. Win or lose we are gunnersHiv kwel kushinda mech ya juz na Chelsea ndio unaona umemaliza upo top 4?
Kumbuka umetoka kubamizwa mech 3 consecutively nilidhan utasubir walau mech 3 zpite ufanye tathmin?
Kesho una man u unaweza kupigwa au kuokota point moja TU
KUWA NA AKIBA YA MANENO MKUU
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Akikujibu nishtueNajua mnanijua. Sijawahi kuwahofia United so huu ushindi haunishangazi kinachonishangaza ni wao kuamini leo watashinda.
computerarsenal hii mechi ya ngapi mfululizo Arsenal anampiga traditional big six?
achana nae hiyo sioni umuhimu wa sisi kuipa airtimeHuwezi kuamini kuna Ndorobo hapa iliyojiunga JF baada Bashungwa kuwa Waziri wa Michezo inasema Arteta hashindi Big Matches.
Bro hapa hakuna cha kusubiri. Arsenal tulikua kwenye mwendo kwenda top three. Hizo games tatu zimetuua kweli ila hakuna cha kutathmini we are doing fineHiv kwel kushinda mech ya juz na Chelsea ndio unaona umemaliza upo top 4?
Kumbuka umetoka kubamizwa mech 3 consecutively nilidhan utasubir walau mech 3 zpite ufanye tathmin?
Kesho una man u unaweza kupigwa au kuokota point moja TU
KUWA NA AKIBA YA MANENO MKUU
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ya pili Mzee kwa kweli players wametufanya tutambe mtaaniNajua mnanijua. Sijawahi kuwahofia United so huu ushindi haunishangazi kinachonishangaza ni wao kuamini leo watashinda.
computerarsenal hii mechi ya ngapi mfululizo Arsenal anampiga traditional big six?
Nimemjibu hivi dudule la jana na leo kushinda umesimamisha kiharage vibaya mnoAkikujibu nishtue