Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ComputerArseanal ulikuwa unasema kuzifunga timu kubwa vipi leo baada ya kuifunga moja ya timu kubwa ulizokuwa unazisema una lipi la kusema?? Je hapo ndo tumekuwa na uhakika wa kuingia top 4???
 
Tukifungwa sote tuna haki ya kuwa na hasira, kumchukia kocha na kukimbia jukwaa la JF kwa muda. Tatizo mbona tukishinda baadhi ya mashabiki wenzetu wa Gunners wanakasirika??? Hawapendi tushinde?? Wanakimbia jukwaa. Why??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…