Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naipenda philosophy ya some Arsenal fans(majina kapuni) timu ikifungwa wanaingia mitini
Hao ndio Toxic fans wa Arteta wao wanajua kuchambua game moja moja but kuna us ambao tunachambua coming 10 games tuliona dalili na hasa baada ya January kukaa bila kusajili forward na squad hii nlitabiri anguko baya mbeleni na sasa hivi tunaona anguko hilo
 
Kocha mzuri anatakiwa ajue jinsi ya kuutilise alichonacho.

Kwa wachezaji waliobaki anavyokomaa kucheza kama mwanzo tutazidi kupotea.

Its either arudi kwenye back three au ampeleke White kwenye midfield.

Naangalia kikosi chetu forward naona yote inazalisha machungwa tu.
 
Another day another defeat, this is our Arsenal, life goes on no excuse for injuries, bado sanaaaa. Nketiah ni takataka kweli kweli hata kunguru atamkataa. Rotten rubbish. Timu insfungwa 6-0 na chelsea, sisi tunashindwa kupata hata goli moja, still we expect to beat chelsea.?????? 21 shots off target against 9, 5 on target against 3 no goal
 
Aser8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowa maji huku wanatingisha wowowo, wakisema chukua yote
we jamaa hua unanifurahishaga sana na haka kamsemo kako.
Mi nilishawaambia hawa AsaniAli timu yao inavyocheza haina tofauti na wale wadada wanaocheza baikoko huku vijora vyao vinamwagiwa maji.
 
Njoja chawa wa Arteta waje kukutukana na kukuita mamluki.
Watu walishalishwa ndele na Arteta huwaambii kitu, na alivyopewa tuzo ya kocha bora wa mwezi uliopita walikua wanashangilia utafikiri Arsenal imechukua kombe la Uefa.

Kocha kama kocha.
 
Nakuomba unitag unaposhusha nondo kama hizi ambazo ni ukweli mchungu kwa fans wengi wa Aseno
 
Kuna namna ya kujiuliza hii ni team ya mpira wa miguu au kikundi cha maigizo ya mpira wa miguu.
Ni wahuni tu waliokotwa huku na huko halafu wakavishwa jezi na kuingia uwanjani.
Badala ya kucheza mpira wanacheza baikoko.
Wasouth wamechezea wowowo na kujipigia bao lao moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…