Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata hivyo jinamizi mpaka kuwaacha kabisa barca itachukua hata nusu msimu ujao.

Sina shaka na uwezo wa Arteta
 
Kama jamaa asipokuelewa hapa, hataweza kuelewa kamwe.. Umemaliza kila kitu.. Arteta anaenda kutengeneza timu bora Sana pale Arsenal. Na jamaa atakaa muda mrefu sana pale Arsenal
Mimi shabiki wa arsenal ila sitegemei ije kuwa timu nzuri labda mpaka kroenke auze asepe. Yule siku sio nyingi atauza martinelli, saka, Rowe, ramsdale, odegaard na tienery then tutaanza upya.
 
Arsenal must get the win today otherwise ni Tottenham Hotspur atakuwa na big chance ya kumaliza top 4 last season Brighton tulimfunga home and away but ni timu ambayo inatusumbua sana tukiplay nao na waliwahi kutubania nafasi ya top 4 tena Emirates wakati wa Unai
 
Kuangalia mechi online kwa pc imekuwa ngumu kuliko arsenal kuingia top 4.
hesgoal.tv nakutana na malink ya page za betting tu daah.

nani anajua streaming site ya uhakika anisaidie tafadhali?
 
Game ya leo tumeshikwa hasa kati, mipira inafia hapo. Pengo la partey lipo waz kabsa.

amjarbu elneny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…