Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi hii 3 ya Arsenal ina uhusiano na wale three wa Chelsea waliojitoa kuthamini Chelsea? 3-0??
Yule jini wa mwanzo wa ligi pale Emirate karudi tena
 
Hizo bottle hazijafanywa na Arteta pekee. Zilifanywa na Wenger na Emery.

Arteta siyo upgrade ya Ole. Arteta ni kocha Ole ni mwanasesere aliyekingiwa kifua na Alex.

Kwenye karatasi kikosi cha united ni superior kipo level moja na City in fact hata nyinyi mnaamini hivyo ndiyo maana mechi ya kwanza ilitosha kuwaaminisha kwamba mwaka huu mmekuja kupambania kombe.

Arteta anafanya haya yote, trophies na kupambania top four, akiwa na academy wa Hale End na few brilliant players Ole na Rangnickelodion wanaizamisha timu huku wana kikosi superior.

Arteta is good. Kilichotokea kimetokea lakini hii siyo mwisho.
 
Yan Arsenal kupoteza game ya jana, maneno yanayosemwa utazan ndo game ya kwanza tumefungwa toka ligi inaanza, ila hii inaonyesha ni kwanamna gan unapokua bora unapata maadui wengi sana tofauti na mwanzo ilivyokua
We lost against liva na haikua big deal koz tulionyesha spirit liva was a quality team.

Against palace hatujazidiwa ubora tulichozidiwa ni juhudi and a matter of who's hungrier.

We needed three point kujishikilia namba nne as Sp*rs ana fixture nyepesi hayo yote ni kama timu haijajali. Kushindwa kisa mpinzani ana juhudi kukuzidi ni aibu
 
Top4 msahau kabisa mwakani mtaenda uropa na mwezenu nyumbu,
 
Hayo madhaifu yalinishutua sana jana learning that team haijajengwa vizuri mentally
 
kama upo tayari twende chemba, niibe muda wa tajiri. nikikupiga goli 3 zitapunguza machungu ya jana. niambie upo room namba ngapi
 
kama upo tayari twende chemba, niibe muda wa tajiri. nikikupiga goli 3 zitapunguza machungu ya jana. niambie upo room namba ngapi
Zinakuja id nyingi nauliza kwenye chat ili niconfirm naona kimya
 
So because Wenger and Emery bottled, unajaribu kuhalalisha alichofanya Arteta.
Kichekesho😅😅😅

Ni kweli Arteta ni superior to Ole, lkn wote ni very average uki compare na football's elite. One thing they share in common is inconsistency and bottling

Theory na practical ni vitu viwili tofauti. On paper PSG ni UCL title contender, look at them now. Juzi hapo Monaco kamaliza Pakiti
Few years ago, on paper Arsenal had Auba, Ozil, Luiz, Willian and the likes, then what happened
Achana na mambo theory, unachofanya uwanjani ndo kina determine superiority yako. Man U hana kikosi superior and that's a fact

The last time Arteta won a trophy, Uncle Magu was alive, Trump was president of the US😅. Unavosema trophies ni kama vile kila msimi arteta anabeba makombe.
Arteta anashindania top four ila hajawahi kuingia top four, let's be clear on that.

One thing nime note kuhusu wewe; ukiwa una argue na mashabiki wenzako wa Arsenal unaongea ukweli na facts ila tukija mashabiki wa timu zingine unaanza propaganda😂😂😂
 
Yan Arsenal kupoteza game ya jana, maneno yanayosemwa utazan ndo game ya kwanza tumefungwa toka ligi inaanza, ila hii inaonyesha ni kwanamna gan unapokua bora unapata maadui wengi sana tofauti na mwanzo ilivyokua
Nyinyi siyo bora na wala hamjawahi kuwa bora kwa kipindi cha hivi karibuni.
Kushinda mechi kadhaa haiwafanyi kuwa bora. You simply had a run of good results, period!!!!
Majuzi kabla ya mechi vs Chelsea, Newcastle alicheza karibia mechi saba bila kupoteza, Je hiyo run inamfanya awe bora????
Timu inakaribia misimu kumi bila UEFA, halafu wanajiita bora. Kupata vichekesho kama hivi tubonyeze ngapi mkuu
 
Will Jr anaangalia mechi chache za timu zingine kisha anarely kwenye stats.

Hiyo ndiyo assumption yangu.

Waweza kuta anasisitiza kitu ukimuuliza analeta stats ukimuuliza mbona hivi iko hivi hapo jibu atakosa ndo mtakutana siku nyingine.
Will Jr na Professor Rangnick, kuna kitu wana share in common😂😂

Philosophers, very talkative
 
Bro on paper United ina kikosi kizuri, world class, usibishe.

Starting 11 ya United yote inaitwa national team.

Kudai United haina kikosi superior ni uongo.

Last time Arsenal won a trophy ni kweli Trump alikua rais. Na last time united won anything ilikua Trump ni nani?

Arteta bado hawezi fananishwa na makocha wengi wakubwa wakubwa ila jamaa ni mzuri na anaelekea huko kwenye ukubwa.

Working wonders with the squad he has.
 
FACT !Licha ni rival wangu ila kwa hili nakubaliana na wewe 100% na baadhi ya fans huwa wakishinda game kama 5 consecutive wanasahau suala hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…