Wana midomo sana kama mawifi wa kizaramo.Baadhi ya fans kama nyie mkiambiwa mpunguze mdomo mnaishia kukashfu watu
Hakuna mchezaji wa Daraja la juu atakuja Arsenal kama haitafuzu championsKama Arsenal isipofuzu UEFA, im sure Arteta atasajili DM na habari ya Partey itakuwa imeishia hapo asubiri rotation kama kina Elneny.
Kama Arsenal isipofuzu UEFA, im sure Arteta atasajili DM na habari ya Partey itakuwa imeishia hapo asubiri rotation kama kina Elneny.
Hiyo top four ni ya Spurs.
Umeyaona Leo?... Tatizo mkiambiwa munakuwa wabishi.Timu Ina madhaifu mengi
Game za ijumaa, za wkend mapema na j3buwa si rafiki, kipindi nabeti zilinipa saana mpunga, ni liver na city ndio huwa wanaziweza haswa hapo wikiendi mapema, ila kwingine kazi ipo.J3 tujikaze, sio muda mzuri wa kupiga game, itakuwa game ngumu saana kwetu, ikitoea tumeshinda itakuwa kwa mbinde.
You're right, if we don't get into the UCL there's no way big players will sign for us. Njia pekee ya kuvutia big names ni kufuzu UCL.Hakuna mchezaji wa Daraja la juu atakuja Arsenal kama haitafuzu championsleague I repeat hakuna dawa ya Arsenal kupata Big players ni kuqualify champions league
PinduaTunapindua meza
#COYG
Tuna games na Chelsea, Spurs, ManU na West ham. Niambie hizo games ni wapi tutatoka. Coz Spurs and Westham will smash us..!!Game za ijumaa, za wkend mapema na j3buwa si rafiki, kipindi nabeti zilinipa saana mpunga, ni liver na city ndio huwa wanaziweza haswa hapo wikiendi mapema, ila kwingine kazi ipo.
Bado tuna nafasi ni kujipanga zaidi.
Wewe naye upo negative sana, shida hamuangalii mpira kiufundi.
Top 4 ni ya AsaniAli mkuu maana wana clean shit nyingiHiyo top four ni ya Spurs.
Wazee wa kupindua mgongo hawa, na leo wamepindua vizuri kwelikweliPindua
Spurs na Westham wanatupiga mkuu, Chelsea wana matatizo so huenda tukapata kitu, Manu hawaeleweki.FACT mimi na wewe na baadhi ya fans tukicritisize tunaonekana wahamiaji haramu but in reality Arsenal ya championsleague but you never know nine games left kati ya hizo kuna Spurs Chelsea West Ham Manchester United mhhhhhhhhh
Mimi na wewe tuna mawazo sawa kabisa na ukweli mchungu na unauma that is realityUmeyaona Leo?... Tatizo mkiambiwa munakuwa wabishi.
Arsenal bado saana,Arsenal ni nguvu ya soda.
Anaweza akawin MFULULIZO game 6 ,Must game ana poteza point. Normal.
Arsenal bado Sana,Tena Saana.Kwanini???? Ana kikosi kidogo.Ushindi wake unategemea first eleven yake ikiwa fit 100%.
Tieney hayupo kawekwa Tavares,pengo limeonekana wazi.
Martinelli hakuwa fit ndo maana hakuanza,nafasi yake kapewa Rowe ambaye mara nyingi ni mzuri akitokea benchi,pengo halikuzibika.
Kama kawaida midfielders wa Arsenal nguvu nyingi akili kidogo(Xhaka na Partey)Asipopata kadi ya njano,atapata nyekundu au ata sababisha nyekundu hasa ikitokea wamekutana na viungo Wanao tumia akili nyingi Garaga.Bisouma,Ward pouse.
Una mdomo sana na ndio unaoleta Gundu kwa kila kitu kujifanya unajua unasema Vieira hana maajabu?are u seriously?game zote 2 katuwin home and away the same kwa Pep Guardiola Arteta kazidiwa kila kitu na Patrick kwa game hizi 2 always napenda kuongea FACTTactical intelligence ipi? Mimi naongea kitu nachokijua, Viera hana maajabu yoyote, wachezaji wetu wana ufather sometimes, unawezaje kucontrol game kama wachezaji hawana calmness? Nafasi ngapi za wazi tumetengeneza tunakosa wao wanafunga?