Yan bora Chelsea wangeshinda tu,
Maana wamemtafutia matatizo crystal palace,
Tobo la kuingia top 4 tunaliona hili hapa alafu sijui nani tunakutana nae!!!
There's no easy way up there, watu wakiwa critical na team wengine wanadhani hatuipendi... anyway that's soccer. Hatuipendi hii hali Ila top four kwa hizi away games naona ndoto.