Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ha haaaaaaaaaaaaaaaaa yamekua ayo
 
Mishahara haitoshi na mishahara huongezeka kutokana na kusign new contracts na performance yako mkuu. Hao akina saka, martinelli, na smith Rowe bado wako kwenye first contract zao. Tegemea kupanda pindi watakapopewa mikataba mipya,
 
Juzi PSG ilifungwa 3-0 na Monaco, lakini ukiangalia payroll yao unaweza mpiga mtu risasi. Neymar anapata Pound 850,000 kwa wiki wakti Messi anapata 700,000 na mbappe anakwapua 462,500 wachezaji wengine wa PSG nao kufuru nyingine
 
Hatari
 
Baada ya game ya el classico, Auba ali post "Hello from the finished player," + picha akiwa ana shangilia goli lake.

N rahs kutafsir kilikua kijembe kwetu mashabk wa Arsenal labda na staff kiujumla,

Nafkr migogoro yote yalianza na kuporomoka kwa kiwango chake
 
Kuna tetesi za ki intelijensia, dyabala anakuja
Nahisi hatufai.

Kwanza ni injury prone. Trip shamba trip garage.

Pia yeye ni no. 10 au false no. 9 kama alivyo Lacazette so sio wa kumtegemea kwenye kupachika magoli.

Vile vile, sijui kama ataziweza zile highline pressing.

Hivi ana umri gani vile?
 
Juzi PSG ilifungwa 3-0 na Monaco, lakini ukiangalia payroll yao unaweza mpiga mtu risasi. Neymar anapata Pound 850,000 kwa wiki wakti Messi anapata 700,000 na mbappe anakwapua 462,500 wachezaji wengine wa PSG nao kufuru nyingine
Mmmh!.. Kweli binadamu wote ni sawa ila wengine ni sawa zaidi..
 
Mmmh!.. Kweli binadamu wote ni sawa ila wengine ni sawa zaidi..

Kwa wiki ni sawa Tzs 2,700,000,000 kwa mwezi 10,880,000,000. Mungu kwa Nini hukuniona na mimi ukanipa kipaji?ukitoa kodi change fanya 2/3.
nilikuwa napitia data za TRA, mshahara wa Neymar kwa mwezi ni makusanyo ya mikoa kama nane( singida, Tabora, Songwe, Rukwa, Katavi, Kagera, shinyanga, Lindi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…