Chief mara ya mwisho ni 2015.
Arsenal kupata points kwa big clubs haijawahi kua tatizo. Hii ishu unayoiraise imekua tatizo msimu huu lakini misimu ya nyuma mbona hao uliowataja tumepiga sana tu?
Na hata hivyo baadhi yao mfano chelsea na united bado hatujacheza nao mara ya pili.