Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa wewe kinega hiyo taasisi yenu ya uhujumu uchumi imeshinda mechi 17 mpaka leo katika mechi 29 ilizocheza Arsenal tumeshinda mechi 16 katika mechi 28.

Halafu upo hapa kujiongelesha kama umekalia moto
Unateseka ukiwa wapi midtable timu?

Totte anainyemelea hiyo nafasi yako.,
 
Mkuu,

Chelsea sio threat kwetu hata kidogo,Last match ni Corona ya baadhi ya wachezaji wetu ndio iliompa advantage.
 
Kwenye epl sahiz kuna matabaka
Team bora sana(Man city na Liver)
Team bora (Chelsea na Arsenal)
Team za kawaida( Man u,Westham,Tot,Leicter)
Halaf kuna zile dhaifu na zile dhaifu sana

Unapofungwa na team bora sana haimanishi kuwa wewe sio bora

Bravo Arsenal kwa sasa mna timu bora ingawa haijafika level ya bora sana
 
Ni dharau za hali ya juu mimi kuwekwa kundi moja na Arsenyeto.

Nitoe hapo tafadhali.
 
Sasa wewe kinega hiyo taasisi yenu ya uhujumu uchumi imeshinda mechi 17 mpaka leo katika mechi 29 ilizocheza Arsenal tumeshinda mechi 16 katika mechi 28.

Halafu upo hapa kujiongelesha kama umekalia moto
Chelsea kacheza mech 28 mpk sasa na si 29,
 
Poleni Gunners wenzangu. Sikuangalia game ila kwa kusoma comments za Arteta baada ya game, hakika tulikuwa poa zaidi ya game ya kwanza. Nguvu zielekezwe kwenye finishing. Tutafika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…