Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii kitu niliandika mchana ndio kinatokea sasa, angalia mipira ya Ramsdale inaenda wapi, hapo kuna watu wanakwambia Lacca ni ST mzuri, wakati hawezi hata kuitoa timu nyuma.
Mpka unaona timu ina excel na saka na Martinelli wana-perform ujue ni laca anahold beki 2 za mpinzani.
 
Hatujatengeneza clear nafasi bado na hii ndio itakuwa determinant factor today. Natamani sana Pepe aingie mapema Leo maana mmoja wapo kati ya Martinelli au Saka watachoka sana.
 
Without any doubt Saka amekuwa abiria uwanjani........ Tunahitaji kukimbia Kilometers za kutosha ili kuweza kupata kila mpira...... ambao utakuwa na advantage kwetu
 
This was very poor from the so called pundits. Arteta is proving them wrong...
..natumai kuona matokeo mazuri asubuhi, nimechoka kuangalia!!
 
Castr, nadhani unaona kuna moments team inasit deep, unajua kwanini? Tunakosa athletes wakupress high reliably, ndio maana huwa nashangaa mtu akisema ni maelekezo ya kocha.
pressing inahitaji wachezaji wenye mapafu ya kutosha........ Lacca try his best, Martinelli do best, Saka don't like to press, Odergard try his best
 
Without any doubt Saka amekuwa abiria uwanjani........ Tunahitaji kukimbia Kilometers za kutosha ili kuweza kupata kila mpira...... ambao utakuwa na advantage kwetu
Shehe ana battle na Robertson na mane+ matip usifanye mzaa, amejtahd sana

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
Hizi offside traps zimekamata offside ngapi?

Magalhaes is good. Kwa defense yetu ya Arsenal ndiye beki ambaye ana traits muhimu za ulinzi, also sijui kama unajua but a guy ana skills nyingi miguuni once akipata confidence tutaona zaidi ya tunachoona.

Gabriel Magalhaes is not a next Virgil. He is the first Gabriel Magalhaes, so tumpe nafasi ajiachie na akue usimlinganishe na yeyote mtazame yeye ukilinganisha na anavyoiimarisha defense ya Arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…