Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Liverpool have caught the opposition offside 117 times in the Premier League this season, at least 46 more times than any other side. Arsenal have scored the most fast-break goals in the Premier League (6). Arteta's side might have the tools to exploit the high line.Nilichomaanisha ni kwamba, unaposhindwa kuhold high line, mara nyingi utakuwa forced to sit deep / low block, sio kama kocha anaamua timu irudi nyuma ila ni wachezaji wanashindwa kuexcute principles za High line footie kwa maana nyingine wanakuwa Passive ndio inatokea hiyo kitu.
Mkuu acha nidhamu ya uogaKaka acha kutania Jukwaani subiri game ifike muda wake maelezo mengi hayana mantiki game ya leo Arsenal hata draw kwake ni ushindi
Big games huwa tuna lose focus na hata leo najua hakutakuwa na jipya that's the fuckin truth ila Sir God yupo anaweza akawa upande wetu you never know ila kwa maelezo yako ya kujitamba unataka game ikiisha tuanze kutukanwa humu hatutaki maadui wote kwa sasa wamekimbia but today wanaanza kunyata nyata humu
[emoji3][emoji3] tupunguze sana shit words coz Maadui wanasikilizia game ya leo sisi wengine tunapenda kukaa kimya we are waiting for that game hata kwenye mabettin Arsenal anaonekana atafungwa but who knows kama Arsenal atawin ?Arsenal anaweza kuwin that game for sure but inategemeana na mambo mengi sana ila kukaa kujitamba humu JF mwisho wa siku tutatukanwa kama tutapata negative resultsUmefanya vyema kumkanya mwenzio juzikati tu mlitoa draw na liver mkatema shit kwenye marudiano tukawafundisha jinsi mpira unavyochezwa
Bro Liverpool is Liverpool I swear leo tukipata 3 points Arsenal hatatoka top 4Mkuu acha nidhamu ya uoga
#COYG
Kuna baadhi ya timu zimespecialize katika kufanya low block. Timu kama Burnley, Wolves, Chelsea (Mourinho) n.k.Nilichomaanisha ni kwamba, unaposhindwa kuhold high line, mara nyingi utakuwa forced to sit deep / low block, sio kama kocha anaamua timu irudi nyuma ila ni wachezaji wanashindwa kuexcute principles za High line footie kwa maana nyingine wanakuwa Passive ndio inatokea hiyo kitu.
Ya muhimu san hii ukizingatia Mancity amepunguzwa spidiMechi ya muhimu sana hii kwa Liverpool na wachezaji wetu wanapaswa kutokubali kuwa abiria ndani ya uwanja, jasho la kutosha sana inabidi limwagike kwenye pitch