El Cholo hawezi kutupa hili jembe. Kaletwa kama replacement ya Partey.Huyu Rodrigo De Paul ni kuingo flani hv mkata Shombo
Tangu Arteta aje nafikiri Arsenal tumefungwa goli 5 mara moja tu ambayo ni msimu huu.ubora wa liver hauzuii na hautazuia arsenal kwenda mbele.like game dhidi ya city....na ukisema tukifunguka tunakula nyingi nakukatalia, ukikaa nyuma ndio unakuwa kwenye risk kubwa ya kupigwa, arteta awali alikuwa anakaa nyuma kipind hicho ana kina kola,mari,belle . ,na tunapigwa 5
liverpool ni bora , hiyo haitatuzuia kwenda mbele ,
Hatujaacha kusajili vinega?According to @gerardromero
, Barcelona defender Ronald Araujo (23 years) received two offers.
The first from Manchester United with an annual salary of (8) million euros.
The second from Arsenal, with an annual salary of 6 million euros. There will be only one season left on the player's contract with Barcelona in the summer.
Hamumuwezii huyo... Wala haina haja ya kujadili. Komaeni na Clavert na wachezaji wengine wa euro 25 mpaka 30TUNAMUHITAJI JOAO FELIX
hii kauli imeeleweka
nampenda rowe , sababu moja tu anapenda kulishambulia box,kufanya one two touch na kufungua space, lkn sio mzuri kwenye ku defend, martinel anapenda kwenda wide sana, ni mzuri ku defend tunapokuwa hatuna mpira kwenye shape ya 4-4-2Martinel na saka; hizi n wings ambazo zitawatuliza Arnold na Robertson
Timu inashinda games kama inaweza kuzuia timu nyingine isipate goli, hapo kwenye kuzuia timu nyingine isipate goli ndipo Arsenal tulipoachwa na liva.Na anagalia Liverpool watatokea wapi, kwa maana na wao wanajua ukifunguka hovyo
Pressing zetu 3, lazima tuweke mpira nyavuni
Klop hawezi kuwa Mjinga kiasi hiki asilione hili
Nguvu ya Liverpool ni mane na salah, hawa watu ni kama ile Barcelona ya pep alafu unaambiwa messi ni mzima wa afya iwe nyumbani au ugenini hamtakua na amani
Liverpool kwanza kabisa tutamkamatia kwenye kiungo, yes partey is there octopus the man himself
No turning back, going forward
Game ya leo bado tunawahitaji
Martinel na saka; hizi n wings ambazo zitawatuliza Arnold na Robertson
Rowe atoke bench tu, sio mbaya
Middle pale sina wasiwasi hata kidogo
Partey anaweza kufanya kaz ya watu wawil bila shida
85% midfield lazima iwe monopolized na arsenal
Tunahitaji utulivu wa defenders wetu, coz salah na mane muda wowote wanaweza kukuadhibu
Odegard
Huyu ni artist haitaji maelezo mengi
Yes, lacazette aanze tu, maana n mtu wa kuwaletea disturbance pale golini
Xhaka
sina wasiwasi nae, kazi ngumu ata kuwa anafanya partey yeye ataweka mambo madogo madogo sawa
Golini yupo jini la kizungu
Najua Leno hana wivu wala chuki akikuona dogo jinsi anavyofanya matusi yake
pale ambapo watu wanajiandaa kushangilia yeye ndio anawainua the gunners
Yule dogo ni genius, very quick in term of thinking and taking actions
mimi simjui vzr araujo, hii kazi waachiwe scout kama kweli anahitajika, ila sio kila taarifa zina ukweli mfano kuna taarifa zinadai tunamtaka hazard, unaona kabisa ni uongoHatujaacha kusajili vinega?
wewe ndiwe mtoa helaHamumuwezii huyo... Wala haina haja ya kujadili. Komaeni na Clavert na wachezaji wengine wa euro 25 mpaka 30
Hao ulio wataja wote ni wadogo kulinganisha na wachezaji wa Liverpool.Usijipe hope ingali unajua unae enda kutana nae ulingoni hamlingani uzitoo.Na anagalia Liverpool watatokea wapi, kwa maana na wao wanajua ukifunguka hovyo
Pressing zetu 3, lazima tuweke mpira nyavuni
Klop hawezi kuwa Mjinga kiasi hiki asilione hili
Nguvu ya Liverpool ni mane na salah, hawa watu ni kama ile Barcelona ya pep alafu unaambiwa messi ni mzima wa afya iwe nyumbani au ugenini hamtakua na amani
Liverpool kwanza kabisa tutamkamatia kwenye kiungo, yes partey is there octopus the man himself
No turning back, going forward
Game ya leo bado tunawahitaji
Martinel na saka; hizi n wings ambazo zitawatuliza Arnold na Robertson
Rowe atoke bench tu, sio mbaya
Middle pale sina wasiwasi hata kidogo
Partey anaweza kufanya kaz ya watu wawil bila shida
85% midfield lazima iwe monopolized na arsenal
Tunahitaji utulivu wa defenders wetu, coz salah na mane muda wowote wanaweza kukuadhibu
Odegard
Huyu ni artist haitaji maelezo mengi
Yes, lacazette aanze tu, maana n mtu wa kuwaletea disturbance pale golini
Xhaka
sina wasiwasi nae, kazi ngumu ata kuwa anafanya partey yeye ataweka mambo madogo madogo sawa
Golini yupo jini la kizungu
Najua Leno hana wivu wala chuki akikuona dogo jinsi anavyofanya matusi yake
pale ambapo watu wanajiandaa kushangilia yeye ndio anawainua the gunners
Yule dogo ni genius, very quick in term of thinking and taking actions
Hapana.Kwani mshanunua mchezaji wa euro 100+??wewe ndiwe mtoa hela
Pep Guardiola says he is "pretty sure" he'll be watching Liverpool's game against Arsenal tonight
nitajie timu 2 epl zilizonunua mchezaji kwa 100+ nami nitakuonesha paka mwenye miguu 6Hapana.Kwani mshanunua mchezaji wa euro 100+??
Jao Felix ana thamani ya milion ngap?nitajie timu 2 epl zilizonunua mchezaji kwa 100+ nami nitakuonesha paka mwenye miguu 6
1. Jack Grealish - £100m (from Aston Villa to Man City, 2021)
2. Romelu Lukaku - £96m (from Inter to Chelsea, 2021)
3. Paul Pogba - £89m (from Juventus to Man Utd, 2016)
4. Harry Maguire - £80m (from Leicester City to Man Utd, 2019)
5. Romelu Lukaku - £75m (from Everton to Man Utd, 2017)
6. Virgil van Dijk - £74.2m (from Southampton to Liverpool, 2018)
7. Jadon Sancho - £73m (from Dortmund to Man Utd, 2021)
8=. Kepa Arrizabalaga - £72m (from Athletic Bilbao to Chelsea, 2018)
8=. Nicolas Pepe - £72m (from Lille to Arsenal, 2019)
8=. Kai Havertz - £72m (from Leverkusen to Chelsea, 2020)
8=. Kepa Arrizabalaga - £72m (from Athletic Bilbao to Chelsea, 2018)