Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
hahaha ndio maana nikaanza kwa kusema mawazo hasi. Ni mbinu tu ya kivita. Siyo timu kubwa wala nini ni kutumia tu resources vizuri. Next 5 games ni 15 potential points. Tunahitaji 12 kukaa nafasi nzuri. Tumeshatoka kucheza j2. Ili tusichoshe na kurisk majeraha kwa mastaa, tuwapumzishe. Watakaocheza wanaweza kudroo au kushinda. Ila baada ya hapo tunarudisha mastaa wakiwa fit kwa game 4 hizo na tunaua kila akatizae bila huruma. Ni mbinu tu boss
hahaha ndio maana nikaanza kwa kusema mawazo hasi. Ni mbinu tu ya kivita. Siyo timu kubwa wala nini ni kutumia tu resources vizuri. Next 5 games ni 15 potential points. Tunahitaji 12 kukaa nafasi nzuri. Tumeshatoka kucheza j2. Ili tusichoshe na kurisk majeraha kwa mastaa, tuwapumzishe. Watakaocheza wanaweza kudroo au kushinda. Ila baada ya hapo tunarudisha mastaa wakiwa fit kwa game 4 hizo na tunaua kila akatizae bila huruma. Ni mbinu tu boss
Nani hayaogopi majogoo?Daaa wewe jamaa ni muoga kinyama π π π yaani unaona upumzishe kabisa wachezaji mhimu et kisa upo na opponent mkali kwamba wewe utakuwa inashinda team ndogo ndogo hizi team kubwa unazipanulia kuchukua point 3 aiseeπ π π π π π π π
Chuma. You want to defend start ElnenyElneny is ideal for this encounter
Wapo ambao hawaoni mazuri ya xhaka. Its good naona mazuri ya kila mchezaji yakitokeanaanza kuamini hauna mapenz kbsa na xshaka hana zuri kwako
"Tomi is the only one that's still there in contention [to miss the game]" the boss stated.Huku kwa Cedric Soares angekuwa Mnyama Takehiro Tomiyasu yule Luis Diaz asingewin aerial duel hata moja, ila akiwa Cedric kazi inakuwa nyepesi kwa Diaz.
Kupaki basi hata madogo wanaweza. Hao jamaa tumekutana nao carabao juzi juzi tu hawana mpira wa kututisha. Ni kutumia nguvu vizuri tu. Tunaweza kutumia nguvu nyingi kuwafunga afu tukachoka sana kuwapiga wepesi wanaofuata. Ni kama kupiga show ya kibabe nyumba ndogo jioni afu usiku unafika home unapiga show mbovu kwa nyumba kubwaBora hata ungesema kupaki bus ...
Kwan mkifunguka lazima mtaogelea goli za kutosha ..ile mikimbio ya mane ,Salah na Diaz alooooooooh mtakuwa mnajikuta mpira upo nyavuni.....
watu wanaogopa bure tu, ila kiminu kesho tunaenda kubattle vzr tu , ukiacha mech ya kwanza ambayo kukosa experience kwa watoto kama sami na nuno, kesho pale kati kuna mtu mbili, amini nakuamia kesho ni kwenda mbele tu, hiyo ndiyo principle yetu tukiwa home siku hizi haijarishi tunacheza na nani, rejea mechi hizi city, wolves,Kupaki basi hata madogo wanaweza. Hao jamaa tumekutana nao carabao juzi juzi tu hawana mpira wa kututisha. Ni kutumia nguvu vizuri tu. Tunaweza kutumia nguvu nyingi kuwafunga afu tukachoka sana kuwapiga wepesi wanaofuata. Ni kama kupiga show ya kibabe nyumba ndogo jioni afu usiku unafika home unapiga show mbovu kwa nyumba kubwa
Hii umeandika kishabiki zaidi mkuu, wape heshima Liverpool, Liverpool are transition monsters in Mane, Salah & Diaz. Ukisema ni kwenda mbele tu game wataimaliza mapema asubuhi. Arsenal tuna tendency ya kusit deep tunapocheza na timu zenye top technicians ipo wazi, Game vs Leceister we had 46% of the ball, how about Liverpool? Remember Liverpool never sit deep. Of course, tutakuwa na some good moments of the game kwa kusustain attacks sababu quality tunayo, lakini bado Liverpool ni bora kuliko sisi, game itakuwa ngumu, game of the ages, napendaga sana mechi kama hizi.watu wanaogopa bure tu, ila kiminu kesho tunaenda kubattle vzr tu , ukiacha mech ya kwanza ambayo kukosa experience kwa watoto kama sami na nuno, kesho pale kati kuna mtu mbili, amini nakuamia kesho ni kwenda mbele tu, hiyo ndiyo principle yetu tukiwa home siku hizi haijarishi tunacheza na nani, rejea mechi hizi city, wolves,
kwake tunaona maajabu na kwa banter si mbaya kutania hivi. Ila jamaa ana rep mbaya mpaka saa zingine unaona kabisa refa anampa kadi kisa tu ni xhaka. Maadui wanajua hivyo wanamprovoke na kudive akiwagusa. Pia xhaka anafanyaga professional foul za makusudi mara kibao ambazo zimetusaidia sanaDID YOU KNOW:
Granit Xhaka have play 5 matches for Arsenal and has not received a yellow card π¨.?
Arsenal vs Burnley β
Arsenal vs Brentford β
Arsenal vs Watford β
Arsenal vs Wolverhampton second leg β
Arsenal vs Leicester city β
Granit Xhaka has improved.
He deserves an accolades ππππ