Wana majukumu tofauti ndo maana unaona comb yao imekubali. Gabriel ni STOPPER mkuu. Mimi nashauri kukiwa na argument humu ndani basi tuwe tunatumia hizo argument kuangalia gem kwa ku-assess kinachosemwa na wadau humu ndani then tunarudi tena hapa kuleta evidence ya ulichokiona.Yah nmekupata, so we huko upande gan? White n bora kuliko Gabriel?
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Wamekipata Cha motoPSG wanafirigiswa huku
Tielemans mwambaaaaaaaaaaaArsenal wana nia ya kuwanunua washambuliaji Alexander Isak, Dominic Calvert-Lewin na Jonathan David, huku Darwin Nunez wa Benfica akiwa mchezaji mwingine anayefuatiliwa. Wanampenda Armando Broja lakini wanahofia kuna uwezekano Chelsea hawatakuwa tayari kufanya biashara nao.
View attachment 2145036
View attachment 2145037
Katika safu ya kiungo, Arsenal wanawafuatilia Douglas Luiz, Ruben Neves na Youri Tielemans kwa muda mrefu. Luiz & Tielemans wote watakuwa wamebakiza mwaka mmoja kwenye kandarasi zao msimu wa joto na hakuna wanaokaribia kusaini nyongeza kwenye vilabu vyao.
Arsenal have also scouted two young midfielders this season in Palmeiras’ Danilo & Carney Chukwuemeka of Aston Villa, suggesting two arrivals could come in that position. [Standard]
Pamoja broWana majukumu tofauti ndo maana unaona comb yao imekubali. Gabriel ni STOPPER mkuu. Mimi nashauri kukiwa na argument humu ndani basi tuwe tunatumia hizo argument kuangalia gem kwa ku-assess kinachosemwa na wadau humu ndani then tunarudi tena hapa kuleta evidence ya ulichokiona.
Mfano jpili tuna gem na Leicester hivyo tutumie hiyo gem ku-assess ubora na ubovu kulingana na tunavyopingana humu ndani.
Walijitoa kwenye michuano yao ya kupata nafasi km carabao saiv ni mwendo wa first 11 mwanzo mwishoAlbert Sambi Lokonga yupo kimya sana huyu kijana, Arsenal chini ya Mikel Arteta tuna Assets nyingi mno.
Wanamwona kama a suitable holding midfielder in this Arsenal team tatizo hana Experience/ leadership kitu kinachompa Xhaka nafasi, maana yake Lokonga as #6 it allows Partey to move further forward, imagine tupate LCM profile in Lucas Paqueta maana yake Paqueta X Partey watakuwa mbele ya Lokonga, how about Ø, ESR, Xhaka? Subs! Mambo ya Arsenal ni complicated sana.Walijitoa kwenye michuano yao ya kupata nafasi km carabao saiv ni mwendo wa first 11 mwanzo mwisho
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kuwafunga Liva mchezo ni ule ule niliousema miaka miwili nyuma.
Chukua ugomvi peleka mlangoni kwao.
Hamna kuhangaika na possession. Wanapress vizuri so itakua ngumu kupossess. Kila mpira wenu ni purposive movement hivyo ni inaangaliwa thru ball au inaangaliwa long ball ya kuchana mabeki.
Tunahitaji forward wenye pace (Martinelli, Pepe, Emile na Saka) ambao watakua na kazi ya kukimbilia pasi chokozi za Odegaard, Partey na Xhaka (akiwa poa siku hiyo) na long balls za Tierney na White.
At any given moment mabeki wetu wasipande sana ili wasiruhusu counter za pace ya Mane na Salah.
Long range shooters wafanye kazi yao bila woga, tukicheza mechi kwa mtindo huo tutawafanya wasijiachie kuja itabidi na wao walinde hence kutakua na balance kidogo.
Ungekua Gnabry ungekuja Arsenal?It is possible that Gnabry is on the way out with a contract expiring in 2023. Arsenal could then sign his former player this summer. Moreover, in case of European qualification, the player would be considered as howegrown.
@Football_LDN
]
Kweli ndugu tuna asset nyingi sana.Albert Sambi Lokonga yupo kimya sana huyu kijana, Arsenal chini ya Mikel Arteta tuna Assets nyingi mno.