Mkuu will Jr anazungumza analytically na realistically na hakuna ambacho anamuonea "gab" ila jambo lililowaz ni kwamba Kuna wakati huwez kupata Kila mtu kwa Kila nafasi unayemtaka kwa aina ya bajeti na aina ya wachezaji walioko sokoni na reputation ya klabu kwa sasa(hatumo UEFA)Yaan ukitafuta update ya gab sijui ata umchukue nan? Maan ata saliba hamfikii sijui labd Coady wa wolves ambae nae naona Kama level ziko sawa tu, kifup Gab apewe mda ana potential kubwa sana
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Laporte ana pasi nzuri lakini siyo ball playing CB. Ball playing CB ni Stones.Aymeric Larpote? he is a right-footed player and Of course he is not a ball-playing CB, right, Is he ?
Magalhaes ni mzuri. Kumfikia Virgil itabidi na Arsenal nzima ifikie level ya determination ya Liva.Mkuu will Jr anazungumza analytically na realistically na hakuna ambacho anamuonea "gab" ila jambo lililowaz ni kwamba Kuna wakati huwez kupata Kila mtu kwa Kila nafasi unayemtaka kwa aina ya bajeti na aina ya wachezaji walioko sokoni na reputation ya klabu kwa sasa(hatumo UEFA)
Sometimes inabidi mtu kukubali mawazo ya mwingine kwa kuwa ndivyo anavyoona yeye na sio kwamba anavyoona yeye basi na wewe ndivyo unavyoona. Kwa hali hiyo ndo maana utakuta kocha huyu anaona mchezaji fulani ni mzr lkn mwingine akaona kinyume chake.Magalhaes ni mzuri. Kumfikia Virgil itabidi na Arsenal nzima ifikie level ya determination ya Liva.
Top CB kwa sasa EPL ni Virgil lakini amefanya blunders kama za Magalhaes zilizopelekea goli. In fact blunder ya kupokonywa mpira nje ya box kwa Magalhaes sijaiona bado.
Tunakua timu ya 3 kutofungwa magoli mengi tupo chini ya Rob na Magalhaes na hizi analysis hazikuepo game dhidi ya Wolves na Watford amefanya makosa na analysis zimeanza.
Katika analysis utakuta Magalhaes ni 100% quality update ya Mustafi na Sokratis. Na ni 100% quality update ya Luiz katika defence.
Mkuu, wewe huwa unaona unachotaka kuona.Laporte ana pasi nzuri lakini siyo ball playing CB. Ball playing CB ni Stones.
Na Stones ni right footer
So kama Stones ni ball-playing CB & Laporte too, Maguire & Varane, and some people say you cant play with two ball playing CBs, hizi idea sijui watu mnazitoaga wapi!Laporte ana pasi nzuri lakini siyo ball playing CB. Ball playing CB ni Stones.
Na Stones ni right footer
Gabriel hawezi kufikia hata nusu ya uwezo wa Van dijk, tusijidanganye, ni wachezaji wawili tu wenye special talent ya Van dijk (Chiellini & Koulibaly labda tuongelee William Saliba akimature.Magalhaes ni mzuri. Kumfikia Virgil itabidi na Arsenal nzima ifikie level ya determination ya Liva.
Top CB kwa sasa EPL ni Virgil lakini amefanya blunders kama za Magalhaes zilizopelekea goli. In fact blunder ya kupokonywa mpira nje ya box kwa Magalhaes sijaiona bado.
Tunakua timu ya 3 kutofungwa magoli mengi tupo chini ya Rob na Magalhaes na hizi analysis hazikuepo game dhidi ya Wolves na Watford amefanya makosa na analysis zimeanza.
Katika analysis utakuta Magalhaes ni 100% quality update ya Mustafi na Sokratis. Na ni 100% quality update ya Luiz katika defence.
Itakua haukuelewa.So kama Stones ni ball-playing CB & Laporte too, Maguire & Varane, and some people say you cant play with two ball playing CBs, hizi idea sijui watu mnazitoaga wapi!
Wewe kama kocha una Stones na Laporte yupi utamuambia avae roles za ball playing defender?Mkuu, wewe huwa unaona unachotaka kuona.View attachment 2142905
Umepata muona Carles Puyol?Gabriel hawezi kufikia hata nusu ya uwezo wa Van dijk, tusijidanganye, ni wachezaji wawili tu wenye special talent ya Van dijk (Chiellini & Koulibaly labda tuongelee William Saliba akimature.
Gabriel is not special, he cant exert the same aura as Van dijk, never. Van dijk feels the game in his head, he reads situations easily, yaani unamcompare van dijk na mtu asiye na Control / Confidence / Calmness, are you serious !
Kuna kitu hatuelewani, Gabriel anakosa "innate defensive talent" hata umpe time kiasi gani hawezi kuwa kama Van dijk. Vitu vingine vinakuja natural, Saliba is 20 ila vitu kama hivi kashaanza kudeploy.Umepata muona Carles Puyol?
Sijasema Gabriel special.
Sijamfananisha na Virgil.
In fact nimeonyesha ana safari ndefu siyo yeye tu bali timu nzima. Timu ikiwa hovyo ndiyo utasikia Liva kala saba, uholanzi katolewa kwenda nusu n.k. na Virgil yupo humo humo. Maturity ya Gabriel itaendana na maturity ya Arsenal.
Hatomfikia.Kuna kitu hatuelewani, Gabriel anakosa "innate defensive talent" hata umpe time kiasi gani hawezi kuwa kama Van dijk. Vitu vingine vinakuja natural, Saliba is 20 ila vitu kama hivi kashaanza kudeploy.
Mmmmh nlikuwa cjajua kma tomiyasu ni mrefu kulko whiteupo sahihi ndio maana arteta amewachukua wakiwa umri mdogo tu, hata white bado anahitaji kujifunza vingi, ni mbovu 1v1,
hadi sasa hatujafungwa goli la kona toka ligi ianze, cha kwanza kabisa arteta aliangalia urefu , magalhaes ana 1.9m , white ana 1.82, tomiyasu 1.88
saliba atarudi kuongeza depth na huenda akamtoa mmoja wao kwasababu naye ni mrefu 1.9m, na itambidi aendane na kasi ya epl, but sina wasiwasi na uwezo wake,
Akija atakaa namba ya Saka au Martinelli?Serge Gnabry atarudi tena?
Serge Gnabry ana ndoto ya mashabiki wa Arsenal kurejea katika klabu hiyo miaka sita baada ya kubadilishana London Kaskazini na kujiunga na Ujerumani, gazeti la Mirror limeripoti.
Gnabry tayari ana mabao 10 msimu huu, lakini mazungumzo ya kuongeza mkataba wake yanasuasua , huku Sky Sports ikiripoti uwezekano wa kuongezwa mshahara ni 50:50.
Naye Gnabry amewatia hofu mashabiki wa Arsenal kwa kuweka picha kwenye mtandao wake wa kijamii akiwa amevalia jezi ya Gunners.
View attachment 2143081