Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Sawa mkuu. Nilikuwa nimekuuonyesha tu kwamba kuna jiwe limerushwa uliangalie ulikwepeHehehehe bro umenitag alone but let me answer you in my opinion tusubiri May 2022 EPL haina adabu na bado tuna viporo na Liverpool Chelsea na Spurs usijisahau na huyo mwenzako aliyesema kanilenga Mimi Spurs alikuwa na viporo na vikachacha Arsenal fans huwa tuna tabia ya kujisahau na sio mbaya kuona muelekeo wa Arsenal ni mzuri but let me remind you Season 2019 Arsenal alihitaji only 3 points kuqualify champions league katika 4 games na akazikosa na this season tupo pale pale tunapopahitaji so let's wait and see bro relax enjoy the games
Tukimalizana na hvyo viporo tukianza na Liverpool March 16 tutaona Arsenal ipo wapi kwa nafasi ya top 4 but kwa sasa nakusisitiza relax relax bro ligi bado mbichi
lugha tundioilimfelisha? mimi kwangu hakuwa kocha anayefaa kuifundisha arsenal,Mkuu hatutakiwi kumchukua sana Emery, still he is a top coach, angalia jinsi Villareal inavyoperform La liga hata UCL ingawa wana scarce resources, bado naamini lugha ilikuwa kikwazo kwake pale Arsenal.
inabid mumfatilie vzr unai emery ndio mtajua yule ni kocha wa ovyo , ni muoga kuliko kunguruUnai aliadhibiwa kwa kushindwa kuonhea Kiajemi. Wakamtengenwzea propaganda zilizomvunja moyo. Na mwishowe akasepeshwa
Sawa mkuu. Nilikuwa nimekuuonyesha tu kwamba kuna jiwe limerushwa uliangalie ulikwepe
Ebu niambie unamfungaje Chelsea?Hujui mpira, mkifungwaga mnajificha
kwan msimu uliopita ulifungwaje? mech ya kwanza msimu huu kumbuka ulicheza na arsenal ambayo 70% sio hawa wachezaji, hata city... game ya 2 alikutana na surprise, so be patientEbu niambie unamfungaje Chelsea?
Alifeli vipi ? Arteta alikutana na losing streak mbaya Zaidi kuliko Unai Emery ila akaendelea kuaminiwa, lugha ilimfanya Emery kulose dressing room. I love Mikel Arteta ila siwezi kumdowngrade Unai Emery regarding na performance ya timu aliyopo currently.lugha tundioilimfelisha? mimi kwangu hakuwa kocha anayefaa kuifundisha arsenal,
Sasa tunamfungaje kwani tulimfungaje last season?Ebu niambie unamfungaje Chelsea?
Aah aah kijana unafurahisha wewe huna uwezo wakumfunga Chelsea, Chelsea kuruhusu tu goal 1 wapinzani lazima wafanye sherehekwan msimu uliopita ulifungwaje? mech ya kwanza msimu huu kumbuka ulicheza na arsenal ambayo 70% sio hawa wachezaji, hata city... game ya 2 alikutana na surprise, so be patient
Kwanini unazungumzia last season na si msimu Huu?Sasa tunamfungaje kwani tulimfungaje last season?
Chelsea mmeshapoa msijifarij, uwezo wa kutufunga sahv hamna Kama mtakaza sana mtapata sareAah aah kijana unafurahisha wewe huna uwezo wakumfunga Chelsea, Chelsea kuruhusu tu goal 1 wapinzani lazima wafanye sherehe
Naona stamina yake imeongezeka, misuli imekomaa na moves zake kama Sanchez. akikaza atatisha sana...Gunners tumebahatika sana kuwa na Bukayo Saka. Man, He is so good.
Huyu Odegaard mimi sinaga Shaka naye, mi namwitaga the chance creation machine.Fabregas mwenyewe ameelewa, View attachment 2141639
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app