Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo ndio unaona mpira mbovu alikuwepo kipindi cha Emery tu?? Ni wewe hapa ulikuwa ukibishana na wadau kwamba Arteta sio kocha. Ukafikia kuhamia PSG. Hebu toka hapa tena wewe unapaswa unyamaze kabisa! Nenda zako PSG huko
 
Bro kama ndio kwa akili zako umekaa ukaandika hivi sina cha kukujibu unataka tuanze kurudia yale yale (unajua tuna tabia ya kusahau sana Arsenal ndani ya wiki alitolewa FA na Carabao cups tena this year January)nakukumbusha ila haya umeshinda na PSG sijahama bro
tuendelee kuenjoy EPL games sawa bro?
 
Sawa ila ukae kwa kutulia. Arteta timu ameisuka imesukika. Wewe jamaa unaonekana hujui mpira umejaa tu ushabiki. Haya nenda zako PSG na utuachie kocha letu bora.
 
Next Games Leicester City Liverpool and Aston villa (point 6 au 7 )zitamtosha Arsenal kuwa nafasi ya kipekee kabisa kuwa Top 4 before games za viporo
 
Mkuu angalia Kuna team Xhaka humu watakuvagaa vibaya sana, wao Waga hawaoni makosa ya kijana wao mpendwa yanayo igharimu team mara Kwa mara
Sio mbaya baada ya msimu Kwisha tutaangalia mtu wa kumpa majuku yake maisha yaendelee
 
Sio mbaya baada ya msimu Kwisha tutaangalia mtu wa kumpa majuku yake maisha yaendelee
Xhaka anapoteza concentration sana. Sio mbaya sawa lakini yupo on and off, akiwa off kuachia boko ni dk sifuri, unacheza square ball wakati ungecheza karibu na mwenzako ili kutunza possession huoni ni kosa tena dk za mwisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…