Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,047
- 3,322
for real...so far mpka ss hivi arteta kafanya kaz kubwa sana kwenye hii team...Hili halitegemeni na kuwa ligi imeisha au haijaisha. Kama mtu anashindwa kuona hilo basi sijui nimtafsiri vipi. Labda chuki tu
Wewe si ulijitoa kushabikia Arsenal na ukasema umehamia PSG imekuaje Tena?Ni must otherwise bado pia tuna Manchester United and West Ham ambao tunagombania nao top 4 haitakuwa game rahisi sasa hivi hizi team za chini Arsenal anatakiwa abebe 3 points but its not easy pia
Arsenal yetu haijawahi kuwa na mpira mbovu for more than 15 years ni kipindi cha Emery tu mambo yakaharibika but problem ni mafanikio makubwa ya big trophiesHili halitegemeni na kuwa ligi imeisha au haijaisha. Kama mtu anashindwa kuona hilo basi sijui nimtafsiri vipi. Labda chuki tu
😁😁😁😁😁Wewe si ulijitoa kushabikia Arsenal na ukasema umehamia PSG imekuaje Tena?
Arsenal yetu haijawahi kuwa na mpira mbovu for more than 15 years ni kipindi cha Emery tu mambo yakaharibika but problem ni mafanikio makubwa ya big trophieskwa sasa Arsenal haina michuano yoyote inayoshiriki no champions league no europa league wala domestic competitions hvyo top 4 is a must kwa Big club kama Arsenal kwa sasa hayo mambo ya kucheza vizuri hakuna fans wala mpinzani asiyejua kama Arsenal ina sexy football bro TULIA
Kwa form yetu ya sasa labda liver ndo atatusumbua, wengine waliobak waktufunga n bahat mbaya,FACT hizi timu sometimes zinapataga bahati ya kupata results dk za mwisho but Arsenal ameplay 24 games wenzake wengi wana 27 or 28 games na viporo alivyobakia navyo ni (Liverpool Chelsea and Tottenham)furaha isije kuyeyuka kama barafu kwenye jua hii game lazima apate matokeo otherwise huko mbeleni itakuwa vilio
Ukiangalia table unasema why Arsenal asiqualify champions league next season but hivi viporo Tottenham alikuwa navyo na vikachacha na Arsenal ana tough teams kwenye hvyo viporo May ndio itafahamika kama Arsenal atakuwa top 4 au lah kwa sasa let's watch and enjoy the games
Tangia February ianze Arsenal amebadilika sana bro mimi May siku ligi imeisha na Arsenal imeingia top 4 itakuwa ni furaha sana kwa Arsenal na fans dunianiMagoli yanayofungwa ni ya viwango vikubwa
Haya ndio maneno sasa bro nguvu hii iendelee tukashiriki Champions league imagine ni zaidi ya miaka 5 au 6 sasa tunashuhudia wapinzani wakipigiwa nyimbo za Champions league na sisi this season tujione basiKwa form yetu ya sasa labda liver ndo atatusumbua, wengine waliobak waktufunga n bahat mbaya,
Enzi za Wenger zimeanza kurudi sasaMagoli matamu sana ya leo
Aisee ila saka anaupiga mwingi sana