Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kwa sababu ana vipolo viwili tofauti na wenzenu kama mtatumia vipolo vyenu vizuri mtashika nafasi 4 bahati mbaya moja Kati ya kipolo chenu mna ChelseaKwa nini Arsenal ipo nafasi ya 6 na SiO ya 5. naomba Maelezo kwa aliyeelewa swali langu. Usikurupe kuandika
Kipolo cha Chelsea wala sio bahati mbayaKwa sababu ana vipolo viwili tofauti na wenzenu kama mtatumia vipolo vyenu vizuri mtashika nafasi 4 bahati mbaya moja Kati ya kipolo chenu mna Chelsea
Taja na cha Fools, na bahati mbaya vyote tunavioasha na maharage ya Nazi tunapetaKwa sababu ana vipolo viwili tofauti na wenzenu kama mtatumia vipolo vyenu vizuri mtashika nafasi 4 bahati mbaya moja Kati ya kipolo chenu mna Chelsea
Uwezo wa kushinda dhidi ya Chelsea na Liverpool ni mdogo sana labda hizi team ziamke na hangoverTaja na cha Fools, na bahati mbaya vyote tunavioasha na maharage ya Nazi tunapeta
Hapo umeongea kwa kujifariji lakini huna mpira wakumfunga Chelsea hata kidogo na wewe unalijua Hilo moyoni lakini hapa ukaza fuvuKipolo cha Chelsea wala sio bahati mbaya
Uwe mpole tu, kaka zenu gari limewaka
Uliona ule mpira aliopigiwa man city!!!, sasa hivi tumezid ku-updatesHapo umeongea kwa kujifariji lakini huna mpira wakumfunga Chelsea hata kidogo na wewe unalijua Hilo moyoni lakini hapa ukaza fuvu
Kwa sababu ana vipolo viwili tofauti na wenzenu kama mtatumia vipolo vyenu vizuri mtashika nafasi 4 bahati mbaya moja Kati ya kipolo chenu mna Chelsea
Hata kama lakini Arsenal bado sana bado mnasafari ndefu yakuwa washindani ukilinganisha nawezako waliopo juu ukiondoa nyumbu wa old Trafford.Uliona ule mpira aliopigiwa man city!!!, sasa hivi tumezid ku-updates
Kipingamiz cha arsenal ni arsenal Mwenye. Ukikaa njiani lazima uliwe kichwa
Hili pia sio jibu sahihiUtofauti ni kwamba westhan ana magori mengi ya kufunga kuliko arsenal
Team zote zikiwa zina point sawaHilo SiO jibu, pengine hujanielewa, nijuavyo wote Arsenal na Westham wana point sawa na magoli ya kufungwa, so iliyepaswa kuwa juu ya mwenzake ni mwenye jina herufi yake imetangulia ya mwenzake