Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kuhusu beki sidhaani maana tayari kuna beki ameshasajiriwa kutoka timu ya kroenke , anaitwa TRUSTY, na saliba anarudi, so kama atasajiriwa beki basi ni Backup RB,Wa tomiyasu na iwapo cedric ataondoka, maana hadi backup kipa tayari, kifupi tunaingia summer tukiwa na Backup GK,SALIBA, NA TRUSTY ambaye ni CB,Pia inabid tuongeze beki pale nyumba, saliba au aingie mwingine
Namba Tisa, yes inabidi aweze kucheza kitimu na sio kusubili mpira kama lukaku
Trusty nafikiri nilisoma mahali kuwa hata msimu ujao atatafutiwa loan ya season Europe akaendelee kudevelop na aje baada ya next season. Hivyo sidhani kama atakuwepo next season.Kuhusu beki sidhaani maana tayari kuna beki ameshasajiriwa kutoka timu ya kroenke , anaitwa TRUSTY, na saliba anarudi, so kama atasajiriwa beki basi ni Backup RB,Wa tomiyasu na iwapo cedric ataondoka, maana hadi backup kipa tayari, kifupi tunaingia summer tukiwa na Backup GK,SALIBA, NA TRUSTY ambaye ni CB,
mzigo mkubwa umetengwa kwa ajiri ya TOP CF ,NA two CMs, romano alisema ana taarifa 100% tutashusha TOP CF,
bado sioni ongezeko zaid la beki wa kati, saliba anarudi, na uzuri arteta anatumia falsafa ya pep ya kuwa na kikos kipana kwa njia ya kuwa na mchezaji mmoja anayecheza nafas zaid ya 1, ben white ni CB,RB,CDM, Tomiyasu RB,CB, hivo sitashangaa kurudi kwa saliba na holding kubaki tusisajiri CB, tukawekeza kwenye VIUNGO NA USHAMBULIAJITrusty nafikiri nilisoma mahali kuwa hata msimu ujao atatafutiwa loan ya season Europe akaendelee kudevelop na aje baada ya next season. Hivyo sidhani kama atakuwepo next season.
Nadhani uko sahihi. Binafsi sina issue kubwa na mabeki au hata defeding yetu kwa ujumla kama timu. Viungo na Ushambuliaji ndipo kwa kuwekeza. Kama tukipata wakumzidi Xhaka (labda hata Mo na Lokonga pia ingawa kaja juzi juzi tu) mwenye nguvu, ubunifu na kasi. Mshambuiaji mwenye nguvu, kasi na ubunifu pia itakuwa poa. Wakiondoka Nketiah na Laca tulete striker mzuri mmoja. Si lazima striker ghali kutoka Europe, hata mtundu mtundu muhuni muhuni flani tu kutoka South Amerika huko type ya Suarez na Sanchez atayewaudhi mabeki. Martinelli atakuwa kama striker wa pili. Kina Saka, Pepe, Smith-Rowe, Martinelli na Ode wapewe mafunzo bora waimarike zaidi ya walipo sasa.bado sioni ongezeko zaid la beki wa kati, saliba anarudi, na uzuri arteta anatumia falsafa ya pep ya kuwa na kikos kipana kwa njia ya kuwa na mchezaji mmoja anayecheza nafas zaid ya 1, ben white ni CB,RB,CDM, Tomiyasu RB,CB, hivo sitashangaa kurudi kwa saliba na holding kubaki tusisajiri CB, tukawekeza kwenye VIUNGO NA USHAMBULIAJI
Nitafurahi Cedric akibaki kama back upTrusty nafikiri nilisoma mahali kuwa hata msimu ujao atatafutiwa loan ya season Europe akaendelee kudevelop na aje baada ya next season. Hivyo sidhani kama atakuwepo next season.
Cedric na Tomi naona kama wako poa tu ukimkosa mmoja ukawa na mwingine sioni kama upande wao una shida sana. unless umpate Hakimi sijui. Hapo unaweza hata ukamuachia Bellerin mazima kama hatopenda kurudi. Ila upande wa kushoto vipi? Tukimkosa Tierney hatupati taabu kama Cedric hayupo?Nitafurahi Cedric akibaki kama back up
Mbona upande wa tierney , nuno yupo poa tu, na huo upande arsenal walishamalizana nao., nuno alipochoma game na liverpool bas baadhi ya mashabiki wanamchukulia mbovu, lkn alipoumia tierny alifanya poa mechi nyingi tu, na ana umri mdogo,Cedric na Tomi naona kama wako poa tu ukimkosa mmoja ukwa na mwingine sioni kama upande wao una shida sana. unless umpate Hakimi sijui. Hapo unaweza hata ukamuachia Bellerin mazima kama hatopenda kurudi. Ila upande wa kushoto vipi? Tukimkosa Tierney hatupati taabu kama Cedric hayupo?
Ni vyema tuchukue chetu mapema kwa hao wachezaji. Nuno naona kama anahitaji kuboresha end product kwenye ushambuliaji kama defensively yuko poa vya kutosha. Jamaa kwa spidi si haba...naona ana potential ya kuwa left back ama left wingback bora sana iwapo atakuwa na delivery nzuri na shooting skills.Mbona upande wa tierney , nuno yupo poa tu, na huo upande arsenal walishamalizana nao., nuno alipochoma game na liverpool bas baadhi ya mashabiki wanamchukulia mbovu, lkn alipoumia tierny alifanya poa mechi nyingi tu, na ana umri mdogo,
kwa upande wa LB hataogezwa mtu, maana hata saka anacheza vzr tu ikitokea tierny na nuno hawapo,
target kubwa naziona ni 2 midfielders,ambapo mmoja atakuwa na uwezo wa kucheza pembeni as winger, na CF mwenye link up play.
elneny naona akiondoka, bellerin hawez kurudi tea, arteta hamtaki, toreira, guendoz, wote hao arsenal atabeba hela, mari ndio safari imemkuta
shooting skills yake sio nzuri, ana vingi vya kujifunza kutoka kwa tierny, uzuri ana umri mdogoNi vyema tuchukue chetu mapema kwa hao wachezaji. Nuno naona kama anahitaji kuboresha end product kwenye ushambuliaji kama defensively yuko poa vya kutosha. Jamaa kwa spidi si haba...naona ana potential ya kuwa left back ama left wingback bora sana iwapo atakuwa na delivery nzuri na shooting skills.
SafiFabrizio Romano: "Saka really loves Arsenal, He is in love with the club." Saka will never leave Arsenal