Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game ni kesho.

Wolves wako vizuri siku za hivi karibuni. Ila hawajaacha kua Wolves bado.

Ni game inayofanya nihofie race ya top 4 kwakua tutaenda tukiwa na Elneny, Patino na Lokonga.

Elneny na Lokonga wanaweza wekwa kati kwa pamoja, nimeona watu wanaongelea kumfanya Pepe awe CF sidhani kama Arteta atarisk kufanya hayo majaribio kipindi hichi.

Kazi tunayo ila kocha aaminiwe. Kwa hawa makocha wa kuanzia 2018 mpaka leo Arteta ameprove kua ni miongoni mwa makocha wazuri technically kuliko baadhi walivyomchukulia.

So here we go
 
adama ayupo ila kipigo kipo palepale jiminez wayaaaaa
lokonga red card
 
adama ayupo ila kipigo kipo palepale jiminez wayaaaaa
lokonga red card
Wolves katoka kupigwa na Norwich na Jimenez yupo.

Mara ya mwisho tunacheza nao beki alikua Luiz (akala red) na Holding.

Tulia hapo
 
Kwan partey na xaka adhabu yao haijaisha??
 
Spurs kapigwa.

Tunagombea naye top four huyu.

Ila hii timu Conte ataanza kuwachapa bakora
 
Possible lineup
Nani anasema Xhaka na partey adhabu yao bado???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…