Unamfananisha Conte na arteta kweli ......Haimake sense Vlahovic anasema mpira wa Spurs unamfaa kuliko Arsenal, kwamba Antonio conte achukue EPL before Mikel Arteta au?
Walipeleka ofa kwa mchezaji ambaye amesema wazi hana interest na Arsenal. Baada ya kukataliwa plan B ilikua ipi? Anahitajika mid wameenda kwa Melo ikawa Juve wanarefusha makubaliano.Arsenal ni kweli walikuwa na interest na Vlahovic ila hawakuwa serious na suala la pesa ya ada, hivyo Juventus haikuwa shida kupiga hodi na kumsajili kiulaini.
Ila Stan Kroenke na Arteta wamekubaliana kwamba usajili mkubwa ufanyike mwezi Juni/Julai na si sasa, ila washughulikie suala la Aubameyang aondoke aondoe kiwingu.
Hivyo Auba sasa yupo Barcelona na atafanya medical jioni hii na atatangazwa kuwa mchezaji wa barca kwa mkopo hadi end of the season.
Hivyo, Arsenal kusajili mchezaji yoyote yule kwa sasa chance ni ndogo sana na hata wakifanya hivyo itakuwa ni kwa mkopo na ndo maana wameamua wamalizane na Lacazette na Nketia ambao watakaa hadi mwishio wa msimu.
Boya wewe, huna unachojua kuhusu mpira endelea kushabikia majinaUnamfananisha Conte na arteta kweli ......
Huyo mchezaji kafata kocha ...
Conte >arteta ...
Arteta anavitu vya kujifunza Sana kutoka kwa Conte
Wewe unajua Nini , ukweli ni kwamba Conte anaweza chukua epl na arteta anatoa macho .....Boya wewe, huna unachojua kuhusu mpira endelea kushabikia majina
FACT kwa atakayebisha atakuwa Mjinga huwezi compare Conte na Arteta ni Mbingu na Ardhi that's why hata sasa players wengi wanaikimbia Arsenal sababu wanaona ni ujinga kuja kuwa chini ya ArtetaWewe unajua Nini , ukweli ni kwamba Conte anaweza chukua epl na arteta anatoa macho .....
Arteta ni mtoto mdogo Sana kwa Conte Kama hutaki Leta statistics za Conte na arteta ....
Arteta katoka kuwa msaidizi city juzi kapewa arsenal ....unajua CV ya conte nyang'ao wew
Usiniletee makasiriko yako kama huna takwimu ...
Sasa wewe naye unataka kuargue na mimi, nilishakublock kitambo sana, nimekosea kukujibu leo.Wewe unajua Nini , ukweli ni kwamba Conte anaweza chukua epl na arteta anatoa macho .....
Arteta ni mtoto mdogo Sana kwa Conte Kama hutaki Leta statistics za Conte na arteta ....
Arteta katoka kuwa msaidizi city juzi kapewa arsenal ....unajua CV ya conte nyang'ao wew
Usiniletee makasiriko yako kama huna takwimu ...
Sasa nafikir kama wewe ni shabik wa aresnal unashindwa kutofautisha tati ya tatizo linalomhusu arteta na kroenke sports investment..FACT kwa atakayebisha atakuwa Mjinga huwezi compare Conte na Arteta ni Mbingu na Ardhi that's why hata sasa players wengi wanaikimbia Arsenal sababu wanaona ni ujinga kuja kuwa chini ya Arteta
Up to now dirisha linafungwa ni marumours tu ya kijingajinga nothing new unaweza kuona ni normal thing but huko Summer ndio kabisa Kama Arsenal hatamaliza top 4(hapa ni ndoto) wachezaji ambao ataweza kuwapata ni wale wa middle and small teams na team itakuwa imekufa rasmi na Arsenal kuamka may be Kroenke aamue kuachia timu au aage dunia ndio Arsenal itakuja mpya because Mmiliki mpya aatanza kusafisha coach na nusu ya players na rubbishzote around our team
Bado unataka tubishane Conte na Arteta nani zaidi???do you mean pia Arteta anaweza akawa bora kuliko Guardiola sababu Manchester City wanaspend more than Arsenal??bro siwezi kupoteza huo mudaSasa nafikir kama wewe ni shabik wa aresnal unashindwa kutofautisha tati ya tatizo linalomhusu arteta na kroenke sports investment..
Ulitaka arteta atoe pesa yake kununua wachezaji?
Je kwa akili yako unafikir tactically conte ni bora kuliko arteta
Je unadhani kama arteta angepata financial backup aliyopata conte katika kutengeneza CV yake je angekuwa hapo alipo au timu yako ya arsenal ingeweza kumuajiri.
Katika maisha Kuna vitu viwili vinavyoamua standard ya vitu katika universal market.Bado unataka tubishane Conte na Arteta nani zaidi???bro siwezi kupoteza huo muda
Conte umlinganishe na Arteta??? Seriously???au unatania??Katika maisha Kuna vitu viwili vinavyoamua standard ya vitu katika universal market.
1-price
2- value
Usishughulike na wafanyakaz hoji integrity ya wamiliki kwa sababu arteta na edu ni waajiriwa wanaofata maelekezo ya bossHivi board ya Arsenal pamoja na Edu wapo serious kweli?.
Leo ndo deadline ya transfer then till now hamna dalili zozote za kusajili mchezaji..
You're the toxic Arsenal fan of all time, Don't complain like a little bitch.Conte umlinganishe na Arteta??? Seriously???au unatania??
Umeanza matusi unayataka ?Answer me if yes tulianzishe I am ready unaambiwa ukweli ambao upo wazi (NAKED TRUTH)unaanza kunya kunya kama kukuYou're the toxic Arsenal fan of all time, Don't complain like a little bitch.
Tryna handle your stuff MOTHERFUCKER!!!
If wanaona sera zao haziendani na boss wao if they are serious waachie timu tujue kuwa Kroenke ni ToxicUsishughulike na wafanyakaz hoji integrity ya wamiliki kwa sababu arteta na edu ni waajiriwa wanaofata maelekezo ya boss
Tutaendelea kuwa Toxic mpaka tunakuwa mababuYou're the toxic Arsenal fan of all time, Don't complain like a little bitch.
Tryna handle your stuff MOTHERFUCKER!!!
Mkuu hii ni starehe tu japo Ina addictions zake, hold yourselvesUmeanza matusi unayataka ?Answer me if yes tulianzishe I am ready unaambiwa ukweli ambao upo wazi (NAKED TRUTH)unaanza kunya kunya kama kuku