Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna mwenye TOCHI atuasaidie kuwa asenol?

BTW Wacha1 yu wapi?
 
hupendi? kuna haja gani ya kucheza uwanja mzima then mnanyukwa 3 kama MANURE walivyofanyiwa na bwawa la maini???

Jamani michelle si yameisha kwa nini tukumbushane machungu na ulishanipa pole
 
hupendi? Kuna haja gani ya kucheza uwanja mzima then mnanyukwa 3 kama manure walivyofanyiwa na bwawa la maini???
we! Hawakutuchezea nusu uwanja bana... Tuliwanyayasa fulu mzuka bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…