computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Hehehehe that's so ridiculousHiyo ni screenshot ila ni video wanaangalia mechi.
For years kirusi ni Kroenke.
Katika mpira kuna muda timu ina advantage na inakua na uhakika. Kabla ya suluhu ya juzi Arsenal ilikua na advantage na uhakika wa kua top four.Hehehehe that's so ridiculoushaya wale wanaosema after 3 years na kupaza shingo Arsenal atabeba EPL au this season Arsenal ataingia top 4 huku Kroenke na Management ni ile ile acha nikae kimya
Arteta kimbinu bado hajafeli. Ameipindua defense iliyosemwa haifundishiki mpaka kua namba tatu kwa ubora katika ligi ameifanya timu icheze huku ina plan.Me kuna muda nashindwa kuwaelewa kabisa baadhi ya mashabiki wa Arsenal wanaosema Arteta amefeli na afukuzwe, ohhh hana jipya, ohhh hana uzoefu,ohh hana mbinu hivi serious unapima mafanikio ya Arteta kwenye kikosi kile?
Unaposema me ni mrefu maana yake umekaa na Mfupi and vice versa is true, kwahiyo mnaposema Arteta kafeli mnamringanisha na nani hasa? Ambae alikuepo arsenal na wale wachezaji au aina Ile ya wachezaji na akafanya vyema?
Ukisema Arteta aondoke eti kafeli kocha amabe Anatumia vijana kutoka academy na wachezaji wengine wa kununua wa kuunga unga ulitaka afanye vizuri Kwa kiwango kipi labda na ukisema hafai ye aondoke hebu naomba nitajiwe kocha ambae ataweza kufanya vizuri akiwa na aina ile ya wachezaji waliopo na mnipe sababu za yeye kufanya vizuri
Hebu angalia competitors wa Arsenal vile walivojizatiti kiuwekezaji uwanjani hadi kwenye management, alafu njoo uangalie arsenal yako hivi kweli huoni aibu kukaa unalia na mwanaume mwenzio afukuzwe kazi eti kafeli
Kama wewe shabiki wa Arsenal unalia lia kutwa na kocha kwahiyo mashabiki wa Manchester utd pamoja na wachezaji wale ambao teyari wameprove wao ni Bora nao wafanye nini? Au wao team yao ni nzuri?
Kama unasema Arteta amefeli vipi kuhusu Ole Gunnar Solskjær pale utd ye tuseme alifeli cubic? Alikosa nini pale utd? Vipi kuhusu Mourhinho pale utd alikosa nini au nayeye hana uzoefu? Vipi kuhusu Mourhinho pale Tottenham au uzoefu aliuacha Chelsea? Vipi kuhusu Nuno pale Tottenham? Vipi kuhusu Ranieli? Vipi kuhusu big Sam? Vipi kuhusu unai pale Arsenal?
Shabiki akililia Arsenal iachane na Arteta eti kafeli nashindwa kumuelewa kabisa, hivi unaongeleaje namna bodi ya Arsenal inavoendesha team yao? Tangu yupo Wenger kocha ambae ana Heshima kubwa pale Arsenal ila ikifika kipindi Cha usajili hadi unamuonea huruma Mzee wa watu maana mabosi wao wanajali faida Tu na sio furaha ya mashabiki
Man utd pamoja na kununua wachezaji wenye viwango ila mashabiki wanalia na bodi kwamba inawaangusha ila Cha ajabu mashabiki wa Arsenal wanalia na Arteta mwenye akina Martinel, Saka, Smith,Tomiyasu,Ramsdale ndio masupa star wa team ila hawalii na kina krionke...! kweli Dunia haijawahi kuishiwa maajabu aiseee
Me nitakuwa mtu wa mwisho kabisa kuamini kwamba Arteta amefeli pale Arsenal, mpeni wachezaji wa daraja juu ndio tumjaji vile team itacheza na kuangalia mafanikio lasivyo me naona mnaendeshwa na mihemko tu na sio facts
Arsenal wamehangaika na Dusan weeee karibia week 3 ila ndani ya siku 2 Tu juve wameingilia kati na dogo anaenda Juventus alafu humu mtu unakuta analia na Arteta unataka alete Mke wake ndio afunge magoli pale kama wachezaji anaowataka bodi inashindwa kumpatia, jamaa anafanya kazi Katika mazingira magumu na inambidi atumie tu rasirimari alizonazo
Unaionaje Arsenal msimu huu atamaliza top 4 au hapana?Me kuna muda nashindwa kuwaelewa kabisa baadhi ya mashabiki wa Arsenal wanaosema Arteta amefeli na afukuzwe, ohhh hana jipya, ohhh hana uzoefu,ohh hana mbinu hivi serious unapima mafanikio ya Arteta kwenye kikosi kile?
Unaposema me ni mrefu maana yake umekaa na Mfupi and vice versa is true, kwahiyo mnaposema Arteta kafeli mnamringanisha na nani hasa? Ambae alikuepo arsenal na wale wachezaji au aina Ile ya wachezaji na akafanya vyema?
Ukisema Arteta aondoke eti kafeli kocha amabe Anatumia vijana kutoka academy na wachezaji wengine wa kununua wa kuunga unga ulitaka afanye vizuri Kwa kiwango kipi labda na ukisema hafai ye aondoke hebu naomba nitajiwe kocha ambae ataweza kufanya vizuri akiwa na aina ile ya wachezaji waliopo na mnipe sababu za yeye kufanya vizuri
Hebu angalia competitors wa Arsenal vile walivojizatiti kiuwekezaji uwanjani hadi kwenye management, alafu njoo uangalie arsenal yako hivi kweli huoni aibu kukaa unalia na mwanaume mwenzio afukuzwe kazi eti kafeli
Kama wewe shabiki wa Arsenal unalia lia kutwa na kocha kwahiyo mashabiki wa Manchester utd pamoja na wachezaji wale ambao teyari wameprove wao ni Bora nao wafanye nini? Au wao team yao ni nzuri?
Kama unasema Arteta amefeli vipi kuhusu Ole Gunnar Solskjær pale utd ye tuseme alifeli cubic? Alikosa nini pale utd? Vipi kuhusu Mourhinho pale utd alikosa nini au nayeye hana uzoefu? Vipi kuhusu Mourhinho pale Tottenham au uzoefu aliuacha Chelsea? Vipi kuhusu Nuno pale Tottenham? Vipi kuhusu Ranieli? Vipi kuhusu big Sam? Vipi kuhusu unai pale Arsenal?
Shabiki akililia Arsenal iachane na Arteta eti kafeli nashindwa kumuelewa kabisa, hivi unaongeleaje namna bodi ya Arsenal inavoendesha team yao? Tangu yupo Wenger kocha ambae ana Heshima kubwa pale Arsenal ila ikifika kipindi Cha usajili hadi unamuonea huruma Mzee wa watu maana mabosi wao wanajali faida Tu na sio furaha ya mashabiki
Man utd pamoja na kununua wachezaji wenye viwango ila mashabiki wanalia na bodi kwamba inawaangusha ila Cha ajabu mashabiki wa Arsenal wanalia na Arteta mwenye akina Martinel, Saka, Smith,Tomiyasu,Ramsdale ndio masupa star wa team ila hawalii na kina krionke...! kweli Dunia haijawahi kuishiwa maajabu aiseee
Me nitakuwa mtu wa mwisho kabisa kuamini kwamba Arteta amefeli pale Arsenal, mpeni wachezaji wa daraja juu ndio tumjaji vile team itacheza na kuangalia mafanikio lasivyo me naona mnaendeshwa na mihemko tu na sio facts
Arsenal wamehangaika na Dusan weeee karibia week 3 ila ndani ya siku 2 Tu juve wameingilia kati na dogo anaenda Juventus alafu humu mtu unakuta analia na Arteta unataka alete Mke wake ndio afunge magoli pale kama wachezaji anaowataka bodi inashindwa kumpatia, jamaa anafanya kazi Katika mazingira magumu na inambidi atumie tu rasirimari alizonazo
Ok KiongoziSidhani kama atamaliza top four
Huko dubai mnaenda kulainika ,mkirudi mnakutana na vipigo mpaka mtajikuta mko nafasi ya 7Ni nketiah na Lacazette ndio wanaenda DubaiView attachment 2095324
Mkuu uli edit comment nini maana hii ya chini haikuepo wakati nakujibuUnaionaje Arsenal msimu huu atamaliza top 4 au hapana?
Seasons za karibuni wachezaji wengi hawataki kuja kuichezea Arsenal tatizo ni nini unaona?for example Dusan anaelekea Juventus ila ameikataa Arsenal wazi kabisa bila aibu why?Locateli hvyo hvyo bila aibu akasema kama nataka kuuzwa Arsenal ni heri nibakie kwenye my team na tukaishia na kina Lokonga Tavares pekee why?
Yes niliedit Mkuu Arsenal yetu ya sasa inakataliwa na wachezaji wengi mno inasikitisha sana for example player anajiona ni superior akiangalia Arsenal nzima kuanzia Board coach na players anaona hana atakaloenda kuachieve kuna kipindi nlisema Arsenal ivutie hao superiors players lazima iqualify Champions league otherwise ikifeli Arsenal kuamka itakuwa majaliwaa itabakia jina sababu pesa za usajili hazitoki kamwe tunapenda cheap players always let's wait and see what will happenMkuu uli edit comment nini maana hii ya chini haikuepo wakati nakujibu
Anyway kuhusu wachezaji kuikataa arsenal ni Kwa sababu ishapoteza mvuto kwa wachezaji wazuri kutokana na kutofanya vizuri hii miaka ya karibuni, kwahiyo wachezaji hawana uhakika wa project kutokana na aina ya uendeshwaji wa club, mfano Man utd haifanyi vizuri ila kwakuwa wao sio bahiri ni rahisi kuvutia mchezaji kwenda pale kwakuwa anajua team itanunua tu wachezaji Bora
Kuatract wachezaji wazuri kunahitaji team iwe iko vizuri at that time, kama ilivo Liverpool au city au Chelsea ni rahisi kupata mchezaji, na kitu kingine ambacho kinaweza mshawishi mchezaji aje timu yako ni kocha aliepo, sa hivi vyote arsenal inavikosa ila kitu ambacho kikubwa Zaidi ni kukosa Imani na team/uongozi
Sometimes mchezaji anaweza kubali kwenda team flani Kwa sababu kaambiwa tu project ilivo, kocha anaweza mpa project ya kujenga team tishio ndani ya miaka 2 na akamwambia mchezaji anamuona yeye kama mtu sahihi, naanza na wewe Kisha nakuletea flani na flani kama alivokuwa anafanya Anceloti pale Everton, ila Kila mchezaji anajua Arsenal kufanya usajili bora ni issue kwahiyo ni ngumu kukubali project
Issue ya Dusan na Juventus, ni Arsenal ndio wamefanya Hadi juve watoe Hela, ila Dusan alikuwa kashakubaliana na Juventus kuwa ataenda bure next season mkataba wake ukiisha, sa kitendo cha Arsenal kumit release clause ya mchezaji ndio juve akawa hana namna maana fiorentina wasingeweza ikataa Hela ya Arsenal alafu mchezaji next season akaondoka Bure
Pamoja mkuuYes niliedit Mkuu
Katika hao wote hakuna atakayekuja Arsenal kwa sasa trust me Aaron Arsenal kaja na story zake za usajli tangia mwanzo mwa January kaamua kupotea zake mbele ya safari next weekend dirisha linafungwa wote waliotajwa yupi mpaka sasa katua Arsenal?jibu ni hakuna Arsenal endapo itataka superior players lazima wawe na mipango ya mbeleni(up to now future haisomeki)au aqualify champions league (up to now haifahamiki ushindani ni mkubwa)au imlipe hela ya maana (Arsenal haipo tayari kwa hilo)Reuben Neves, Douglas Luiz, Tyler Adams long term targets, leta mchezaji yoyote mwenye uwezo wa execute tactics za Mikel Arteta reliably. Reuben Neves, man, What a player!
ukwely utakueka huruHili jukwaa watu wanalalamika sana wakati hamna wanachoweza kubadili.
Ukimind sana hama timu.
Ina maana fans wafanane mawazo?kimbilio lako wewe ni kuwa mtu ahame timu ndio solutions?una akili za kitoto sana wewe katika worldHili jukwaa watu wanalalamika sana wakati hamna wanachoweza kubadili.
Ukimind sana hama timu.