Well kwakua yuko vizuri pengine alikua sahihi kuhusu alichokidaiHuyo jamaa yuko vzr kwenye analysis za mpira, lkn kuna muda huwa anajizima data kwa vitu ambavyo vipo obvious kabisaa
Kuna kipindi tulikuwa na arguement kuhusu Man U na Solskjaer. Anakwambia player profile ndo inafanya Man U iboronge na wala siyo kochaπ π π
Kwa Lokonga sijauliza ni nimesema.Wote sina uhakika
Melo nilimfatilia akiwa Barca tuu
Lokonga nimemfatilia akiwa Arsenal
Melo toka aondoke Barca sijamfatilia
Mpaka sasa tatizo siyo morali ni usajili hewaNachoamin mim wachezaj wa arsenal wakiamua kujituma plus motivation y kocha wao wakacheza game zao kwa spirt kubwa km game n man cty vile walivocheza bas top four ni uakika
sureila yule Melo mtu kiasi chake atatusaidia
tatizo ni morali ni ufinyu wa kikosi kilichopoMpaka sasa tatizo siyo morali ni usajili hewa
Burnley walikuwa deep compact block, was not easy kubreak them down kwa medfield tuliyokuwa nayo, lakini ni mara ngapi Saka/ Martinelli found themselves in 1v1 situations ambazo wangeweza kuCapitalize ? Sasa unamlaumu vipi kocha kama kaAfford kutupa structure inayofanya tunasustain attacks frequently?Wakati naandika kwamba tumetolewa FA, Carabao na tutatolewa top four Will Jr alikua bize kupinga na stori na takwimu zake mbalimbali.
Kuna vitu mtu anakuja kukuambia siyo vya ukweli na anatafuta angle ya kuingiza argument mpya kila muda na unashangaa anatoa wapi moyo huo.
Kuna kitu cha msingi itabidi tuelewe na tukubali kitu chenyewe ni kuacha kuishi ndotoni.
Ukiiangalia timu jinsi inavyocheza. Kikosi na wachezaji waliopo unapata picha wapi timu inaenda, wengine hua wanaelewa wengine hua hadi abishe asikie raha.
This is bullshit
Football is easy.Burnley walikuwa deep compact block, was not easy kubreak them down kwa medfield tuliyokuwa nayo, lakini ni mara ngapi Saka/ Martinelli found themselves in 1v1 situations ambazo wangeweza kuCapitalize ? Sasa unamlaumu vipi kocha kama kaAfford kutupa structure inayofanya tunasustain attacks frequently?
Huwezi kusajili mchezaji kwa kupanic kisa game ya Burnley au Liverpool carabao na ukaacha kusajili mchezaji for the long term solution.
Wote tunajua Arsenal haikuwa na mpango wa kusajili ST january paka Auba alipo misbehave, wote tunajua uzito wa kusajili Midfield umekuja baada ya Xhaka & Partey kupata red card, hata usajili wa Arthur mello ni vile Arteta has shifted from 4231 to 433 and Xhaka's profile doesnt excel enough to that new role.
This is illogical reactions, we act like football is easy at times.
Kama tusiposajili hata namba sita hatukai.What i know is that we have a top manager, top players, top structure and we will finish in the top four.
Naona wote tunaenda Kariakoo ila wewe umepiti Mhimbili mimi nimepitia Jangwanitatizo ni morali ni ufinyu wa kikosi kilichopo
Melo kasajiliwa kweli leo au?sure
Labda kama huzielewi formations, most of the time ukiangalia upande wa kushoto utaona,Football is easy.
Plan ya kusajili kiungo was there if they signed a CM after forest's defeat it couldn't be seen as a panic buy. Partey was a panic buy.
The plan to buy ST was there, Auba is 30+ and so is Laca we were linked with Tammy sooner after he left for Roma, long before Auba started misbehaving.
We do not play 4 3 3. Partey is a DM so is Xhaka for these two to be accommodated in a 4 3 3 formation it should be 4 2 1 3 which it would a disaster. Arteta said he envision to play 4 3 3 but there are not right players yet so we have not yet moved to 4 3 3.
Arteta ana mchango mkubwa kwa timu kupata game plan lakini hana watu sahihi wa kuexecute plan ana watu ambao hawasiti kupata red, wanaoshindwa duels, faulo zisizo za lazima na wasiojitoa kwenye 50/ 50. Huko hana lawama zangu. Lawama zangu zipo katika usajili.
Nitarudia tu same deal. Ukiangalia kikosi na mpira utajua nini kipo nini hakipo na nini unaweza kukitegemea kauli yako ya kikosi hichi kutuweka top four ilikua ni ya kimiyeyusho.
Tatizo la Arsenal fanbse ni kuwa you're moving from trend to trend, timu ikafanya poa mnajifanya mnachambua, timu ikifanya vibaya mnajikuta mnajua kukosoa kweli, very interesting ila tushawazoea haisumbui, haters wote tunawajuaKama tusiposajili hata namba sita hatukai.
Ikatokea hatujasajili mpaka dirisha linafungwa kisha tunarudi uwanjani hivyo hivyo na tukamaliza top four sitaingia tena huu uzi.
Nitakuomba unionyeshe uwezo wako wa utabiri ulipoutoa, nikajifunze, ninunue kaniki na tunguli niwe mganga nipate pesa
Sasa kama mpango ni Tielemans na hatukuwahi kutaka kiungo ofa kwa Maddison ilipelekwa ya nini?Labda kama huzielewi formations, most of the time ukiangalia upande wa kushoto utaona,
Martinelli plays on the touchline in the first and second phase
Xhaka moves further forward to leave Partey as a 6
Odegaard in the right half-space occasionally dropping deep
Tierney overlapping while Martinelli comes inside in the final third
Xhaka and Martinelli are combining on that left-hand side.
This is a 4-3-3 type from the Norwich, Leeds, West Ham, and Southampton games.
Game vs City, it was 4231
Ukisema kuhusu usajili ST ilikuwa planned next summer not now ila Auba akafanya yake imewalazimu Arsenal waingie sokoni, hata kwa Mid ndio maana unaona wanamtaka Arthur kwa mkopo ila target ni either Tielemans / Bruno next summer
Hiki kichaka chenu cha kuita watu haters kinatiwa moto na facts na logic.Tatizo la Arsenal fanbse ni kuwa you're moving from trend to trend, timu ikafanya poa mnajifanya mnachambua, timu ikifanya vibaya mnajikuta mnajua kukosoa kweli, very interesting ila tushawazoea haisumbui, haters wote tunawajua
Kaka unamwaga madiniHiki kichaka chenu cha kuita watu haters kinatiwa moto na facts na logic.
Anasajiliwa Partey badala ya Aouar nikasema tunapotea. We did.
Nikasema tunahitaji RB huyu Chambers atatucost. He did.
Nikasema tutatolewa Carabao na tutastruggle top four. Na ndiyo tupo hapa.
But some guy anaopt kuita watu hatershell hii timu inapigwa kulia, kushoto na katikati watu mmekimbia uzi nani alikua bado yupo hapa?
Hahahaha amia psg mkuu..hahahaHiki kichaka chenu cha kuita watu haters kinatiwa moto na facts na logic.
Anasajiliwa Partey badala ya Aouar nikasema tunapotea. We did.
Nikasema tunahitaji RB huyu Chambers atatucost. He did.
Nikasema tutatolewa Carabao na tutastruggle top four. Na ndiyo tupo hapa.
But some guy anaopt kuita watu haters πππ hell hii timu inapigwa kulia, kushoto na katikati watu mmekimbia uzi nani alikua bado yupo hapa?