Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
huyu auba amezidi ni wa kufukuza na fimbo nyingi akacheze kwenye vitimu vya huko Gabon.Sababu hasa ya Aubameyang na Lemina kuondoka timu ya Taifa ya Gabon ni utovu wa nidhamu kuliko 'sababu za kimatibabu' (Ambayo ni kweli).
Magari ya polisi yaliwanasa Wachezaji wote wawili wakiwa wamelewa mwendo wa saa 5 asubuhi ya leo wakisindikizwa na wasichana, jambo ambalo lilisababisha mapigano na maafisa wa usalama.
Kama vipi aachweMazungumzo katika studio @SkyItalia kabla ya mechi ya Fiorentina..usiku huu
“Tatizo lipo kwenye matakwa ya mchezaji na mawakala wake, wanaomba euro milioni 8 na kamisheni ya euro milioni 10 pamoja na 20% ya mauzo siku zijazo.
"Kwa hivyo licha ya uwezekano wa makubaliano ya Arsenal naFiorentina, kuna ugumu mkubwa kwa mchezaji na mawakala wake."
View attachment 2085568
na top klabu huwa hazikubali huo ujinga wa percent flan akiuzwa , wakala wake anafanya hivo akivizia summer klabu nyingi zitamfata, wasije shangaa akawa anapatikana kwa euro 20 na watu wakauchuna, the same story, hausem auorKama vipi aachwe
Mpaka sasa wachezaji ambao wapo nje kwa mkopo:Miguel Azeez and Tyreece John-Jules expected to leave on loan before the end of the window. Sead Kolasinac’s departure is now close to fruition. Reports,
@MarkyMBryans
Financially, Fiorentina inawabidi kumuuza Dusan kwa kutotaka kulipa gharama za hapa na pale kama hiyo 10%Mazungumzo katika studio @SkyItalia kabla ya mechi ya Fiorentina..usiku huu
“Tatizo lipo kwenye matakwa ya mchezaji na mawakala wake, wanaomba euro milioni 8 na kamisheni ya euro milioni 10 pamoja na 20% ya mauzo siku zijazo.
"Kwa hivyo licha ya uwezekano wa makubaliano ya Arsenal naFiorentina, kuna ugumu mkubwa kwa mchezaji na mawakala wake."
View attachment 2085568
saka amelud tyari mazoezin janaMpaka sasa wachezaji ambao wapo nje kwa mkopo:
Matteo Guendouzi - Marseille
William Saliba- Marseille
Folarin Balogun- Middlesbrough
Hensley Maitland-Niles- Roma
Pablo Mari anaenda Udinese
Lucas Torreira- Fiorentina
Sead Kolasinac- anazungumza na Marseille na mkataba waisha mwezi Juni.
Meguel Azeez alikuwa Portsmouth amerudishwa Arsenal.
Wachezaji ambao wapo kwenye majukumu ya AFCON
Thomas Partey- Ghana
Nicolas Pepe- Ivory Coast
Mohamed Elneny - Egypt
Piere- Emerick Aubameyang- Gabon (amerudi London kufanyiwa uchunguzi wa afya)
Wachezaji wanne wa kiungo ambao wana matatizo ya kiafya majeruhi na wanotumikia adhabu za kadi nyekundu:
Granit Xhaka (kadi nyekundu) kukosa mechi ya Arsenal na Liverpool (carabao Cup) na Burnley (jumapili 23 january)
Emile Smith Rowe- Covid
Martin Odegaard- Covid
Cedric Suarez- majeruhi
Takehiro Tomoyasu- majeruhi
Bukayo Saka- majeruhi
Calum Chambers- majeruhi
picha za mazoezi hawajatoa na sidhani kama watatoa, kesho arsenal wanampango wakutuma maombi mech ya carabao alhamis iahirishwesaka amelud tyari mazoezin jana
Aisha akileta mizinguo unaruka kwa mwajuma..eeeeeeh simple like thatMambo ya kiwaki.
Unamtaka Amina.
Anazingua.
Unaruka kwa Aisha.
Simple kama hivyo.
We mwehu upo?Kwani ninyi matakataka arse8 ..Muna uwakika wa kumaliza ligi juu yetu..!!?
Nipo mwehu ..vip wewe upo au ushapona kichaa..?!😂😂🤣