isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,562 Jan 14, 2022 #105,061 mysterio said: Duh, kwa hiyo umeni- judge hivyo!!! Funny Click to expand... Samahani mkuu kuzungumzia nafsi yako but I believe still wakulaumu wasingelikosa.
mysterio said: Duh, kwa hiyo umeni- judge hivyo!!! Funny Click to expand... Samahani mkuu kuzungumzia nafsi yako but I believe still wakulaumu wasingelikosa.
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,193 Reaction score 74,001 Jan 14, 2022 #105,062 Sasa hii ya Saka ingekua kadi nisingeshtuka sana
kopites JF-Expert Member Joined Jan 28, 2015 Posts 9,708 Reaction score 12,108 Jan 14, 2022 #105,063 Bado tu hatujawafunga?
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,651 Reaction score 25,661 Jan 14, 2022 #105,064 Castr said: Ndiyo atakosa three game lakini siyo ya ligi. Au red ya kwenye carabao inafika hadi kwenye ligi? Spurs si kwenye ligi au? Click to expand... Atakosa mechi na Tottenham na mechi ya marudio ya hii Carabao na mechi ingine ya Ligi. Mkuu, nilidhani unafahamu hii kitu.
Castr said: Ndiyo atakosa three game lakini siyo ya ligi. Au red ya kwenye carabao inafika hadi kwenye ligi? Spurs si kwenye ligi au? Click to expand... Atakosa mechi na Tottenham na mechi ya marudio ya hii Carabao na mechi ingine ya Ligi. Mkuu, nilidhani unafahamu hii kitu.
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,562 Jan 14, 2022 #105,065 Castr said: Ndiyo atakosa three game lakini siyo ya ligi. Au red ya kwenye carabao inafika hadi kwenye ligi? Spurs si kwenye ligi au? Click to expand... Kweli anavyoeleza Richard, Xhaka atakosa mchezo wa Spurs pia.
Castr said: Ndiyo atakosa three game lakini siyo ya ligi. Au red ya kwenye carabao inafika hadi kwenye ligi? Spurs si kwenye ligi au? Click to expand... Kweli anavyoeleza Richard, Xhaka atakosa mchezo wa Spurs pia.
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,193 Reaction score 74,001 Jan 14, 2022 #105,066 Timu ya usajili ya Arsenal iliwaza nini kumtoa Niles huku Afcon imefika na hawana back up plan mpaka sasa ni fununj tu za Arthur melo, Tielemans na wenzao
Timu ya usajili ya Arsenal iliwaza nini kumtoa Niles huku Afcon imefika na hawana back up plan mpaka sasa ni fununj tu za Arthur melo, Tielemans na wenzao
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,193 Reaction score 74,001 Jan 14, 2022 #105,067 Richard said: Atakosa mechi na Tottenham na mechi ya marudio ya hii Carabao na mechi ingine ya Ligi. Mkuu, nilidhani unafahamu hii kitu. Click to expand... Sifahamu ndiyo maana naona unakosea kujumuisha na game ya ligi. So ilivyo ni kadi za carabao zinaextend mpaka kwenye ligi?
Richard said: Atakosa mechi na Tottenham na mechi ya marudio ya hii Carabao na mechi ingine ya Ligi. Mkuu, nilidhani unafahamu hii kitu. Click to expand... Sifahamu ndiyo maana naona unakosea kujumuisha na game ya ligi. So ilivyo ni kadi za carabao zinaextend mpaka kwenye ligi?
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,651 Reaction score 25,661 Jan 14, 2022 #105,068 Castr said: Sifahamu ndiyo maana naona unakosea kujumuisha na game ya ligi. So ilivyo ni kadi za carabao zinaextend mpaka kwenye ligi? Click to expand... Yes, ni kwa all domestic games. Ingekuwa Arsenal wana Champions League game Xhaka angecheza.
Castr said: Sifahamu ndiyo maana naona unakosea kujumuisha na game ya ligi. So ilivyo ni kadi za carabao zinaextend mpaka kwenye ligi? Click to expand... Yes, ni kwa all domestic games. Ingekuwa Arsenal wana Champions League game Xhaka angecheza.
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,384 Jan 14, 2022 #105,069 Duh what a chance by Saka!!!!
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,651 Reaction score 25,661 Jan 14, 2022 #105,070 mysterio said: Duh what a chance by Saka!!!! Click to expand... Arsenal wana chance ya kushinda kama wakitoa sare hii game.
mysterio said: Duh what a chance by Saka!!!! Click to expand... Arsenal wana chance ya kushinda kama wakitoa sare hii game.
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,384 Jan 14, 2022 #105,071 Castr said: Sifahamu ndiyo maana naona unakosea kujumuisha na game ya ligi. So ilivyo ni kadi za carabao zinaextend mpaka kwenye ligi? Click to expand... Yes
Castr said: Sifahamu ndiyo maana naona unakosea kujumuisha na game ya ligi. So ilivyo ni kadi za carabao zinaextend mpaka kwenye ligi? Click to expand... Yes
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,193 Reaction score 74,001 Jan 14, 2022 #105,072 Richard said: Yes, ni kwa all domestic games. Ingekuwa Arsenal wana Champions League game Xhaka angecheza. Click to expand... Kama ndivyo basi kazi tunayo. Itabidi White acheze kama mid
Richard said: Yes, ni kwa all domestic games. Ingekuwa Arsenal wana Champions League game Xhaka angecheza. Click to expand... Kama ndivyo basi kazi tunayo. Itabidi White acheze kama mid
Khalifavinnie JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 2,840 Reaction score 2,425 Jan 14, 2022 #105,073 hii aseno imetengemaa sana sikuizi
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,384 Jan 14, 2022 #105,074 Always unlucky, tungekuwa 11 vs 11 nadhani ingekuwa burudani
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,193 Reaction score 74,001 Jan 14, 2022 #105,075 Saka amepata chances 2 za kuscore na hakuna iliyozaa matunda. Nafikiri ameegemea zaidi kuassisst kuliko kuscore.
Saka amepata chances 2 za kuscore na hakuna iliyozaa matunda. Nafikiri ameegemea zaidi kuassisst kuliko kuscore.
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,384 Jan 14, 2022 #105,076 Arsenal have produced the only shot on target of this game, Liverpool none
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,384 Jan 14, 2022 #105,077 Sekunde haziendi
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,384 Jan 14, 2022 #105,078 Hongera sana arsenal. Wonderful performance
NAJYUZ JF-Expert Member Joined May 10, 2021 Posts 1,997 Reaction score 3,516 Jan 14, 2022 #105,079 Nice performance from lads today.
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,193 Reaction score 74,001 Jan 14, 2022 #105,080 In this game we came with a plan. Same na game na City, we had a plan. Ila Refa akaharibu. Today ile red imeharibu. Tunakutana next game then at Emirates.
In this game we came with a plan. Same na game na City, we had a plan. Ila Refa akaharibu. Today ile red imeharibu. Tunakutana next game then at Emirates.