Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tena umenikumbusha hivi lokonga atacheza na nani kwenye midfielder vs Spurs?maana Lokonga naye ndiye amelegea kabisa sijui jpili kama ntaangalia mechi nipunguze presha
 
Hoya hii ni Carabao.

Game na Spurs ni ligi.

Ni ishu mbili tofauti.
 
Niliwahi kuandika humu 70% ya Arsenal fans and supporters they know nothing about football. Xhaka wasn't a defender, mabeki walikuwa wapi?
Weye wataka tu kujisifia wafahamu football?

Kwani ni nani amesema Xhaka ni defender?

Xhaka ni DM hivyo alijua Tierney yupo juu, hivyo akajipa jukumu la kumkabili Jota.

Pia Xhaka ni marksman kwa Jota.
 
These are just like others easily shaken, timu iwe na confidence ya kukaa na mpira, tusibutue
 
Loverpool wakienda emirates Arsenal kwa second leg, itashinda tusiwe na wasiwasi.
 
Mbona umesema atakosa mechi mbili na Spurs wanashangilia?
Xhaka atakosa 3 games kwasababau amepata straight red card (dangerous tackle)

Gabby alikosa mechi moja (Nottingham Forrest) kwasababu alipata kadi mbili za njano ndani ya game moja na ikawa red card.

Ndo maana Gabby yumo uwanjani leo.
 
Xhaka katika akili hakufikiri “Lazima nipate Red Card nitoke” fikra ilikuwa kuondoa mpira kabla ya Jota kuuchukua.
Xhaka ni Pro player... sitaki kuamini akujua risk aliyochukua katika iyo move... pindi alipotaka kucheza huo mpira, alijua wazi akiukosa mpira na kucheza mtu na ikiwa yeye ni mchezaji wa mwisho katika shambulizi nini kingefata!
 
Xhaka atakosa 3 games kwasababau amepata straight red card (dangerous tackle)

Gabby alikosa mechi moja Nottingham Forrest) kwasbabu alipata kadi mbili za njano ndani ya game moja na ikawa red card.

Ndo maana Gabby yumo uwanjani leo.
Ndiyo atakosa three game lakini siyo ya ligi. Au red ya kwenye carabao inafika hadi kwenye ligi?

Spurs si kwenye ligi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…