Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Xhaka angetakiwa afanyaje pale?
Mpira upo juu kwa player mwenye akili alitakiwa atulize akili Jota hakuwa na madhara kabisa angeconcentrate kwa kubana njia badala ya kudeal na mpira for example Jota angepata mpira kisha akampiga chenga na Xhaka kufanya tackle lawama zisingekuwa kubwa kama now on
 
Huyu nae ni wakutupisha tu... Maana kazidi kutuchoma, game ya man city katuchoma, leo tena carabao tutaponea wapi sasa!
 
Kama Xhaka angekua ana speed ilitakiwa aende kukaa mbele ya yule mchezaji na aanze kuzinga kwakua hana speed option ilikua ile aliyoifanya.

Option nyingine ilikua ni kufanya bahati nasibu na Jota akose au apate.

Option ilikuwa kumbana. Jota na kumpeleka pembeni
 
Kama Xhaka angekua ana speed ilitakiwa aende kukaa mbele ya yule mchezaji na aanze kuzinga kwakua hana speed option ilikua ile aliyoifanya.

Option nyingine ilikua ni kufanya bahati nasibu na Jota akose au apate.
You know football 👌

Watu wanamlaumu Xhaka bila kuweka facts! Wanalaumu lakini hawaulizi defenders walikuwa wapi hadi Xhaka atoke kati kukimbia kumfuata Jota.
 
You know football

Watu wanamlaumu Xhaka bila kuweka facts! Wanalaumu lakini hawaulizi defenders walikuwa wapi hadi Xhaka atoke kati kukimbia kumfuata Jota.
Haupo serious wewe kabisa dunia nzima imechafukwa then unakuja kutetea upuuzi bro huu sio muda wa joking kabisa akiona game ipo upande wetu vs big games basi atamaliza yeye game refer Mancity City game I am tired kumuona huyu jamaa kwenye squad yetu hapendi watu wafurahie positive results why him frequently?why?
 
You know football 👌

Watu wanamlaumu Xhaka bila kuweka facts! Wanalaumu lakini hawaulizi defenders walikuwa wapi hadi Xhaka atoke kati kukimbia kumfuata Jota.
Uende uko sawa kwa mtazamo wako...
Lakini fikiria umuhimu wa game ya leo kwa upande wetu, mi naona bora angeacha jota afunge... Ili tujipange kusawazisha kuliko kcost team kwa red card, FA out... Carabao ndo ivyo tena, halafu top 4 kuna wapuuzi wak clear viporo vizuri uenda wakatupumlia..!
 
Niliwahi kuandika humu 70% ya Arsenal fans and supporters they know nothing about football. Xhaka wasn't a defender, mabeki walikuwa wapi?

That is not an excuse, ubongo wake unge- improvise, ukaruhusu hata Jota akafunga goli than to commit an offense that will leave the team with 10 men
 
Niliwahi kuandika humu 70% ya Arsenal fans and supporters they know nothing about football. Xhaka wasn't a defender, mabeki walikuwa wapi?
Bro swali langu ni Moja why Xhaka ?why Xhaka?sawa mimi sijui football ila nakuuliza why xhaka?Arsenal ina lot of players but why Xhaka?ukinjibu hili ntakaa kimya
 
Xhaka katika akili hakufikiri “Lazima nipate Red Card nitoke” fikra ilikuwa kuondoa mpira kabla ya Jota kuuchukua.
 
That is not an excuse, ubongo wake unge- improvise, ukaruhusu hata Jota akafunga goli than to commit an offense that will leave the team with 10 men
Nimemuuliza one question Arsenal ina lot of players but why Xhaka ?everytime na sio wengine?akinijibu sahihi ntakaa kimya
 
NIlitaka kumtetea lakini ninakuunga mkono.

Xhaka ni experienced player na alifahamu alikuwa anafanya nini.

Hata hivyo, Ramsdale pia alivyoamua kutoka golini angeendelea kwenda mbele kwa Jotta angeweza hata kuokoa kwa kichwa na hivyo ndivyo makipa mahiri hufanya.

Ni common mistakes za Xhaka ndizo zinatugharimu.

Arsenal wana game na Tottenham ambao saa hii wanachekelea kwa kudhani tutapwaya kwenye midfield Jumapili tena kwao.

Xhaka atamiss 2 games tena important games, shame.

Arsenal wakazanie juhudi wamsajili Arthur Melo haraka iwezekanavyo aje atusaidie pale kati maana Sambi Lokonga bado mwepesi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…