Ukiondoa lugha za kuudhi na za majigambo kinachobaki sio ushabiki na mpira hautanoga tukiwa wote diplomats wa kuongea kama brother au sister. Ndio maana hata mtu anaacha TV yake ya HD ndani anaenda kwenye kibanda umiza ili tu akafuate ushabiki huo na majigambo yake. Mkomae basi kwenye ushabiki wa mpiraUnatafuta kujua kama watu wana lugha chafu vidoleni mwao au umeteleza tu kuandika huu uzi umeubandika!?
Hii ndio shida ya kufutwa kwa jukwaa la dini, imesababisha maparoko kuhamia kwenye jukwaa la michezo.Lugha inayoudhi ni sehemu ya majigambo katika ushabiki wa soka. Ni rahisi sana walioshindwa majigambo kutafsiri maneno ya majigambo kuwa matusi au abusive language. Kama wewe huwezi ushabiki kwa nini upo huku?
Hatuna hata sub! Aiseeeee kukosekana kwa MO na ESR ni jangaSioni tukitoboa kwa kikosi kilichopo. Nimeamua kumuamini kocha
Ila xhaka dah... Kanitoa kibanda umiza mapema kabisa, nmegundua akuna sabab ya kuchelewa kulalaFrom now on Fan yeyote wa Arsenal atayekuja na story za kumtetea Xhaka ntalala nae mbele kwa mbele enough is enough this guy anafanya makusudi he is not matured enough why him in big games lazima atoe boko?why?kisha lije jitu linatoa shingo linamtetea stupid acha tukalale
Nenda Twitter uone anavyotukanwa kiukweli anatuumiza saba fans wake lazima atoe penalty au red card tena kila mara vs big games this is not acceptable kama management inaona huyu ana umuhimu kwenye timu Arsenal itaendelea kuwa vibonde vs big games anapenda kumaliza mechi kabla haijaishaIla xhaka dah... Kanitoa kibanda umiza mapema kabisa, nmegundua akuna sabab ya kuchelewa kulala