Jamani....natamani kulia kila nikiwaza kifo cha rafiki yetu mpendwa Arsenal badae Nuo Camp..kwi kwi kwi kwi kwiiiii! iiiiiiii!, aaaaaaaaa! uwiiiiiiiiii!
Hodi wenyewe nimekuja kutoa asante kwa faraja zenu kipindi cha msiba uliotokea anfield,kama nilivyoahidi kuleta vifaa vya matanga iwapo mgonjwa akikosa nafuu.
Wacha1,Mbu,AW et al tupo pamoja hadi mwisho wa mtanange huu