computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Yaani bro ndio nashtuka hapa. Wamekuja watu kunifuata home ndio nimeamshwa. Nilizima kabisa na Leo ndio siku ya kwanza msimu huu nakosa game.Leo akicheza vizuri, kesho anabadilika
Cc relief mirzska
Have a nice journeyYaani bro ndio nashtuka hapa. Wamekuja watu kunifuata home ndio nimeamshwa. Nilizima kabisa na Leo ndio siku ya kwanza msimu huu nakosa game.
Travelling tonight
Nakuja broMkuu Relief Mirzska mi naomba nije PM
Duh! Nimeskitika naona result hapa.Have a nice journey
Carabao sijui FA wala hazipaswi kutuumiza kichwa
Inshu ipo kwenye ligi
Jpili tupo na spurs,
Xhaka ana covid
Nile yupo Roma
Partey na elneny wapo AFCON
Techinically safu ya kiungo itakua chini ya Sambi Lokonga
Tuseme AMEN
[emoji120][emoji120][emoji120]
Unacheka msiba wa jirani wakati kwako kunaunguaNaandika 'Newcastle alipigwa kimoja' hata nusu saa haijamalizika na sisi tunakufa kimoja
Umwambie asajiri na wachezaji wa kikosi b maana ni aibu mechi nzima short on target ni 0 kisa TU kina Rowe,Laccazate,Saka,Xhaka,Ben white hawakushiriki.Tujifariji kwa kusema kwamba hii game itamfosi Mustach atoe pesa ya usajili haraka
Linafunga wanyonge tuuHamna timu hapa
Na arsenal alipigwa kimoja jana akaenda kuliaNewcastle alipigwa moja tu jana akakaa kushoto