Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mmefungwa lakin Bado mnajipa matumain


Kweli arsenal ni arsenal tu ....

Mpaka hapo wachezaji wenu watakapokuwa na adabu uwanjan ,sio kufoka foka kusababisha foul bila sababu mkila red mnaanza kulia lia
 
FACT yule aliyeanza kunitusi Jana natumai he will never repeat again kunitukana hata mimi matusi nayajua ila heshima lazima iwepo sio unaamka unatukana bila sababu za msingi hapa umeandika FACT kabisa kiongozi tukubali kutokukubaliana sababu kila mtu ana expectations zake kwa Arsenal and that's it
 

Not fair to condone misconducts,Xhaka’s penalty was correctly given. He pulled Silva’s shirt. Gabriel first yellow was a result of arguing with Stuart Attwell, deservedly yellow carded. I said before the match about the consequences of redcard. Odeegard challenge by Edson was a penalty wrongly not given by VAR
 
Kaa kwa kutulia wewe usione kimya ni vile tu kwa kua wewe ni mpumbavu unaachwa katika upumbavu wako
 
FACT bro mwanzoni ulivyokuwa ukiargue kuwa Arsenal mostly in big games players wanakosa discipline na concentration ikabidi nianze kuangalia past games na jana yamejirudia natumai kusema una Big IQ bro sikukupinga but nkaenda kujiridhisha kuona ukisemacho kama ni kweli na yes its true
 
Mmefungwa lakin Bado mnajipa matumain


Kweli arsenal ni arsenal tu ....

Mpaka hapo wachezaji wenu watakapokuwa na adabu uwanjan ,sio kufoka foka kusababisha foul bila sababu mkila red mnaanza kulia lia
Ukiwaambia wanaanza fujo
 
Bro bado unaitaka my dic***?unawashwa marinda ?jana hukupatwa kulalwa?
Yaani hii timu nidhamu ni mbovu kabisa kuanzia wachezaji mpaka mashabiki.
Yaani yule refa wa jana ilitakiwa aingie kwenye hili jukwaa na kutembeza kadi nyekundu mpaka kwa members.
Cheki hapa mashabiki wa Arsenal wanataka kupigana miti wenyewe kwa wenyewe
 
Nitamtukana mpaka aache kunitukana
Kausha mkuu, tatizo lako wewe unaongea ukweli mtupu, sasa mashabiki wa Arsenal wanapenda kudanganyana na kupeana matumaini ya uongo uongo.
Wewe kua mshabiki wa Arsenal humu jukwaani utapata shida sana labda uamue kua bendera, yaani upepo utakapovumia na wewe uende hukohuko.
La sivyo wenzako wote watakuchukulia kama msaliti.
 
Wewe jamaa sipati picha huko mtaani kwenye maisha ya kawaida



Hasa kwenye kubishana mpira ,kama humu tu unatoa shit za namna hii
Mashabiki wa Arsenal ni pasua kichwa kwelikweli, wengi wameanza kufatilia mpira wakiwa mirembe.
Si unajua Arsenal ndio timu ya taifa ya Mirembe.
 
Sasa mkuu ukimtukana unapata faida gani??

Mtu humjui, hamjuani kwanini mnatukanana.

Kwani ukikaa kimya Kuna ubaya boss
Binadamu tunatofautiana mimi kwenye kutukanwa lazima niwashe moto bora uniite Mjinga ila unaniita Msenge nikae kimya?no way tutapambana humu humu
 
Binadamu tunatofautiana mimi kwenye kutukanwa lazima niwashe moto bora uniite Mjinga ila unaniita Msenge nikae kimya?no way tutapambana humu humu
haiwezekani kunyamaza we wawashie moto tu, wasikuletee mazoea ya kijinga kijinga, tena hawa ukiwanyamazia wanaweza kukutia hata kidole
sio wakuwachekea kabisa hawa

Tena wakizingua wahame na litimu lao libovu wasikuletee zereu.
 
Arteta kafanya nini hapo Emirate?
Wachezaji walewale kandanda tofauti kabisa na Arsenal tunayoufahamu more than 10 yrs ago
Attscking minded clinical, ball cotrol, agressive and confident.
You deserve top 4 and more
Kuna watu wanasema Arteta hafai sio kocha afukuzwe hahahahaaha.

Mpaka ndugu zetu wa Chelsea nyinyi mnaona
 
Just for your information Demi Ni mtu mmoja namkubali sana. Yeye ni KE na hayupo kwenye mambo haya ya mipira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…