Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,513
- 9,553
Mbona kama umekuwa muimba ngojera kila siku unarudia maneno.Mwisho tumepata nini?na Top 4 tutatoka tu mechi rahisi kama hii tumeipoteza na ntakukumbusha hii game itatucost kwenye mbio za Top 4 problem ya Arsenal kwenye big games ni lack of concentration and discipline na hata Castr na Mysterio wanaliongeleaga sana hili kufungwa tumefungwa na Top 4 ishakuwa mtihani next game vs Conte Manchester City ameshinda sababu hizi hizi game tulishaishinda kabisa ghafla penalty mara Red card hata first game Red card ilitolewa
Mwaka wa ngapi speaker zena hazilii wimbo wa CLMkuu Arsenal na City ipi ni team kubwa?.
Hivi arsenal kuna mchezaji ana nguvu kweli? Saka au?Arsenal ni timu ndogo Sana iliyojaa watumia nguvu bila akili
Tuugulie maumivu tutakutana 16 January nina hasira sana leo ntakutukana kisha ntakula ban naomba unisamehe kwa hili nkikutukana ntafungiwa Mkuu usije kunichafua nkamaliza siku vibaya na wewe tafadhali sijawahi kuwa vibaya kama siku ya leo tuta argue hiyo siku mechi tulishashinda point 3 kabisa hata 1 ilikuwa yetu kisha unaanza kuniuliza maswali ya kipumbavu?leo tuache siku ipite tuendelee na mambo menginewe mzee unashida gani?
Soon mtapigwa kipigo cha mbwa koko. Janja janja yenu ishafahamika.Mmetumia nguvu ....city tumetumia akili
Mkuu angalia manguvu anayotumia xhaka ....Hivi arsenal kuna mchezaji ana nguvu kweli? Saka au?
Unaitaga CL kombe la kifala halafu ukija kwa watoto wenzio unalipraize.Mwaka wa ngapi speaker zena hazilii wimbo wa CL
Sibishani Mimi na timu level za kina burnely , crystal palace n.k
Tuugulie maumivu tutakutana 16 January nina hasira sana leo ntakutukana kisha ntakula ban naomba unisamehe kwa hili nkikutukana ntafungiwa Mkuu usije kunichafua nkamaliza siku vibaya na wewe tafadhali sijawahi kuwa vibaya kama siku ya leo tuta argue hiyo siku mechi tulishashinda point 3 kabisa hata 1 ilikuwa yetu kisha unaanza kuniuliza maswali ya kipumbavu?leo tuache siku ipite tuendelee na mambo mengine
FACT kwa shabiki ambaye hatakuelewa atakuwa ana upungufu wa akiliWhat makes city and Liverpool to be on top is the discipline of their players. Robertson picked a redcard, this happened I think after a couple of seasons. City sijui ni lini mara ya mwisho walipata red. Sisi , we have been throwing away points because of madness and idiocy of some of our players. Was it necessary for Gabriel to do what he did 2 minutes after picking yellow card?
Kwa nini international player asijue consequence za upumbavu anaofikiria kuufanya? Ni mara ya tatu nadhani within two seasons for Gabriel to pick redcard. Ameniharibia siku yangu huyu Mbwa wa Brazil.
Kocha sio yule yule.Arsenal wamekua watamu
Sio shabik wa Arsenal lakin leo nawashabikia
Timu ni ile ile, kocha yule yule
Nn siri ya mafanikio jaman mbona mmebadilika hv?
Usiombe ukutane na Arsenal hii kipindi hiki!
Acheni Unaa nyinyiNilivyomuona kwenye First 11 nikasema Arsenal wanalo leo
Kaupiga mwingi sana Leo vice captain wetu.Tutazidi kumtetea tuu
Kama unafuatilia ninayopost humu nimesema top four ni yetu. Na 2023/2024 tunabeba EPLAnyways!! Tumepambana.
Nilikubali matokeo yoyote tutayoyapata before.
Ila wanangu sio siri,Tume improve.
The madness started with his Faul, Gaby get booked protesting about tje faul, and then a secon yellow a minute later. Game ove its was just waiting when Shit will kill tje Game. Xhaka ila an all time liability and we don't learn from that.We cannot complain too much about such performances !! Arsenal never learn to not start Xhaka in the big game !! He is the foul and red card specialist !! a liability ~~ even it is a soft penalty given but with VAR nowadays.. you should not react like this inside the penalty box !!!!!!!
Kocha sio yule yule.
Arsenal is one of the best right now under Arteta's leadership